Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 140
Sasa ukienda guest au kwenye kilabu ya pombe je?
Eti wadau ingekuwa waje? Kama BIBLIA yako unge2mia kama SIMU
>Unatembea nayo kama SIMU
>Uki_isahau unairudia kama SIMU
>Unaisoma kila wkt kama Sms kwenye SIMU
>Kava ikiharibika unaenda kununua nyingine kama housing kwenye SIMU
eti.! Jmn ingekuwaje?
Ukienda kuibe je ungeiacha wapi?
Ukienda kuibe je ungeiacha wapi?
mie natembea nayo kila mahali na dhambi ziko palepale.ingekuwa safi na dhambi zingepungua.
yan avator yako inaniachaga hoi, sorry for declaring interest.Sasa ukienda guest au kwenye kilabu ya pombe je?