Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,167
- 1,405
Kwani D Rob amevuta?
kwani ukusikia gk na t.i.d wakimwimbia
Kwani D Rob amevuta?
Nimewakumbuka sana wasanii waliotingisha muziki wa kizazi kipya miaka ya 90's
Kwanza Unit (Adili -Nigger One R.I.P, D-Rob Zomba R.I.P, Kibacha -K single, Y Thang, Fresh G, Chief Ramson - Zavara) Mimi msafiri, Haturap, Upanga
Diplomatiz - Saigon, Dolasol - Balozi, Chris, Stiggo,Ibony -Turuke, Are you down, Blah blah
profesa jay hapo alikuwa wapi

Haah haah haah sio kwamba watoto wa Ilala wataibuka mikono juu?
Hivi Dj Yusuph yeye alikuwa hana kundi au alikuwa nalo?
Ingekua vipi angekua hai D-Rob?
Na Chief Ramson angekua Bongo?
Y Thang kwa kidato, Umrudishe K-Single,
Kwanza ingekua mfano, kwa Ma-MC wa Bongo,
Nani angekua mzigo, na nani angekua Widow?
Haah haah haah sio kwamba watoto wa Ilala wataibuka mikono juu?
ndio kina nani hao?
Bongo flava ya kina Kwanzanians and co haikua mainstream ( for all) kama bongo flava ya sahivi walioanzisha akina Jay na Sugu.Watu wanawaongelea sana Sugu na Prof Jay kama ndo waanzilishi wa bongo fleva..lakini ni kosa kubwa sana kuwasahau malegendy kama hawa ambao kupitia wao na harakati zao ndo kiliwapa molari wakina sugu na Jay kufanya mziiiki...natamani itokee japo radio moja angalau kwa wiki iwe inakumbushia mautamu haya ya wakina KU,diplomatz na wengineo...kama akitokea producer akaamua kutengeneza walau documentary fupi tu ya hawa jamaa,uyo producer atakuwa bilionea soon....TRUE LEGENDS of bongo fleva tutawakumbuka daimaaaaaa