Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,706
- 149,945
Kwa mtitiririko huu wa matukio na tuhuma mbalimbali dhidi ya bwana Bashite na jinsi boss wa Bashite anavyoyachukulia(msimamo wake) ingekuwa ni katika nchi za wenzetu hata mkulu angehojiwa ni kwanini anaonekana kuzipuuza tuhuma hizi badala ya kuchukua hatua kama ambavyo wengi wamekuwa wakimtaka au wakimtarajia.
Nihitinishe kwa kusema:
Kama fulani ndio kamponza fulani,basi nae karma haitamuacha.
Nihitinishe kwa kusema:
Kama fulani ndio kamponza fulani,basi nae karma haitamuacha.