Mkuu hii sii ya kweli kwa sababu ya majumba haya huwa hakuna kimsitu au kipori na tafauti na uswahilini ni jambo la kawaida na kuchezeana na uchawi na hasa panapokuwa na mali na kila mtoto anataka kuwa yeye ni bora zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.