Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,034
- 144,388
Kivipi?Fafanua tukuelewe.Nadhani ni waziri pekee aliyeitendea haki wizara ya mambo ya ndani
Ni kweli lakini juhudi za ziada sidhani kama zimefanyika kama alivyokuwa anafanya Mrema enzi zake.Nyakati zimebadilika bro
Sorry,sikukulewa nilidhani ulikuwa unamtetea Mwigulu.Alidhibiti ujambazi kwa kiasi kikubwa kwa kuanzisha sungusungu, alifanikisha ujenzi wa vituo vidogo vya polisi maeneo mbalimbali nchini, hakuwa waziri wa kusubiri amri kutoka juu - alikuwa anafanya initiative mwenyewe katika mambo mengi, alijaribu kwa kiasi kikubwa kuwabana mapapa wa madawa ya kulevya lakini kuna viongozi wa ngazi za juu walimuangusha...
Ni wazi ukiibuka ugaidi tutaangamia sana.Hivi watu waliwahi kujiuliza zile bunduki zilizokuwa zikiporwa katika vituo vya police zilienda?! Hawa watu wamefanya maandalizi ya muda mrefu na jeshi letu la ama police au Jw wafanye utafiti wa kina na si wa kick labda wanaweza kufanikiwa. Nguvu saana haitasaidia
Na viongozi wa leo wanapaswa kuendana na nyakati. Mrema kwa enzi zake alithubutu na alikuwa mbunifu. Kwann huyu aliyepo haleti wazo jipya lenye kutatua matatizo chini ya wizara yake ?Miaka ile sio hii wewe
Nakala ya uzi huu imfikie technically popote alipo .Ukikumbuka utendaji wa Augustino Lyatonga Mrema enzi zile akiwa waziri wa mambo ya ndani ndio utajua umuhimu wa waziri mwenye dhamana katika balaa hili la mauji linaloendelea huko mkoani Pwani na pia utajua ni kwanini Mwigulu Nchemba anapaswa kuachia ngazi.
Hivi sasa,licha ya yanayoendelea, Waziri na Naibu wake wote wako Bungeni unless wawe wameenda leo.
Nina hakika ingekuwa ni enzi za Mrema, leo hii yeye mwenyewe angekuwa ameshahamishia kambi huko kibiti pamoja na vigogo wa Jeshi la Polisi.
Mrema alikuwa na juhudi binafsi,alikuwa mbunifu na zaidi alkuwa anajituma katika kusimamia maagizo yake.
Mh.Mwigulj do the needful.
Fuatilia nyuzi za Mwigulu humu Jf , utaelewa kwanini alifikiriwa kupewa wizara hii , nenda mbali kidogo fuatilia maisha yake na mwenendo wake kwenye awamu ya 4 , utaelewa kwamba kilichompa madaraka ni uhusiano wake mbaya na chadema .Ni wazi ukiibuka ugaidi tutaangamia sana.
Leo hii mnamsifia Mrema....miaka 10 ijayo itakuwa mnamsifia MagufuliNakala ya uzi huu imfikie technically popote alipo .