Ingekuaje ????

Ingekuaje ????

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
1,556
Reaction score
422
aiseeeee babayangu ingekuaje huyu angepita kwenye mchuja wa kumpokea obama
then wagonganishe macho na watoto wa obama
unahisi nini kingetokea
 
Angetuharibia kila kitu. Watoto wa Obama wangegoma kushuka kwenye Airforce1
 
Huyu mzee ni mzee wa watu na anawatoto kama wewe
Kama sio baba ya ko ni baba wa wenzako.
Jitambueeeeee
 
Huyu mzee ni mzee wa watu na anawatoto kama wewe
Kama sio baba ya ko ni baba wa wenzako.
Jitambueeeeee


Binafsi simchukii kwa sura yake...maneno na matendo yake...naye kama anavyoipenda CCM ajue kuna wanaoichukia...akiwa na hiyo adabu vijana wataacha kumfananisha na sokwe..na wewe jitambue
 
aiseeeee babayangu ingekuaje huyu angepita kwenye mchuja wa kumpokea obama
then wagonganishe macho na watoto wa obama
unahisi nini kingetokea


PUMBAFU KABISA HIVI HAO WATOTO WA obama ni MALAIKA mpaka imefikia unadharau viongozi wa nchi yako kwa wageni wa siku moja?
Mbona Mama yake meno yamebebana lakini aliwazaa, mbona obama mwembamba utadhani hali lakini ndio babayao?
Mbona hakuzimia alipomwona Mizengo Pinda?
Mbona hakushangaa Malyenge ya Mbowe na Kova?
Mbona hakushangaa King Mswati amevaa Shanga na Hirizi?
PUMBAFU TENA.
 
Kuna mtu alitumiwa msg akanionesha ikisema mtoto wa obama wakati alipotambulishwa kwa mzee pinda kuwa ndio waziri mkuu wa Tanzania alizimia sasa wakati amezinduka yuko kwenye rest room wasira akaja kumpa pole...................
actually huyo mtu alicheka sana ila mie nilipose tuu maana as a joke inachekesha ila as in real life inakera maana huyu nae ni baba wa mtu.
 
duh kwani huko ulaya wote ni mahandsome?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom