wakuu tumezoea kuangalia mashindano ya BIBI BOMBA, sasa kama ingekuepo BABU BOMBA unadhani ingefana zaidi ya bibi bomba. na katika babu bomba,wewe ungempendekeza nani?