Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,845
... Lakini kama bado mnapendana will you both be able to move on au ni kusettle tu for what you got?
...ndio maana nikasema kuna tofauti "to be in-love" na to love somebody! kama unampenda tu mkeo laki ni huoni wala husikii kwa huyo old flame ~soulmate~ wako,...ni bora tu uwe mkweli wa moyo wako!