Ingejiment

Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,532
1,822
Hivi sikuiz kuna maana ya kuvishana pete kweli?ikiwa mwanamke akifika steet za mbali anaivua na kuiweka kwenye pochi.wat does it mean......?
 
Kuna maana kumvalisha yule mwenye malengo sawa na wewe tu...zaidi ya hapo ni kudanganyana.
 
Hivi sikuiz kuna maana ya kuvishana pete kweli?ikiwa mwanamke akifika steet za mbali anaivua na kuiweka kwenye pochi.wat does it mean......?
Hicho kitu hakina maana yoyote. ni vipesa tu vinawawasha watu wanaamua kutengeneza get 2gether party.
 
Hivi sikuiz kuna maana ya kuvishana pete kweli?ikiwa mwanamke akifika steet za mbali anaivua na kuiweka kwenye pochi.wat does it mean......?
Naamini ipo kama wote mko kwenye mstari mmoja ina maana mvalisha na mvalishwa maana kama kila mmoja ana yake atavalishwa akitoka tuu kweney ile zero distance anaivua anaendeleza yale ya kwake. Maana yake ni kuwa je umevalishwa pete ni kweli una maana kuwa umejifunga au ni fashion tuu na kumridhisha mchumbako kuwa kweli umejifunga ila moyoni hauna lengo hilo
 
na utamjuaje hilo ndo tatizo coz km kuigiza si tatizo kila mtu analiweza hilo... Lizzy,
 
Hapo sasa ndio mtihani ulipo....ila nadhani vipo vitu vinavyoweza kukuonyesha japo wengi watajifanya vipofu hawaoni.
 
na utamjuaje hilo ndo tatizo coz km kuigiza si tatizo kila mtu analiweza hilo... Lizzy,

Kama mtu uko nae kwenye relation kwa muda mrefu ni rahisi sana kumjua tabia zake. Sidhani kama unafanya engagement na mtu mmekutana wiki mbili au tatu
 
Weeee.....watu “WANAJUANA“ mpaka ndoa inapofungwa ndo mmoja anagundua kwamba hamjui mwenzake hata chembe.Makucha yanakatwa....mengine yanafichwa.
 
Weeee.....watu "WANAJUANA" mpaka ndoa inapofungwa ndo mmoja anagundua kwamba hamjui mwenzake hata chembe.Makucha yanakatwa....mengine yanafichwa.

Lizzy nakubali na makucha mengi sana yanafichwa ila kuna mengine ambayo yako wazi kama ya mbwa huwezi kuyaficha na unajikuta unambiwa kuwa hili lipo ila watu wanajitia vichwa maji hawasikiii
 
ngoja niahirisha kumvalisha pete ya uchumba huyu wangu, kumbe mambo yenyewe ndo kama hayo.
 
Lizzy nakubali na makucha mengi sana yanafichwa ila kuna mengine ambayo yako wazi kama ya mbwa huwezi kuyaficha na unajikuta unambiwa kuwa hili lipo ila watu wanajitia vichwa maji hawasikiii
Hiyo ipo ndo maana nilimwambia wengine wanajitia upofu tu ila ukweli wanauona. Ubaya ni kwamba watu hua hawataki kukubali kwamba walichodhani/tamani sicho kilichopo kweli.Basi mtu anaamua kubeba hivyo hivyo akijiaminisha kwamba kondoo nae ni mbuzi.
 
Tatizo letu hasa wanaume ni kujiaminisha mno yaani tunajiamini kupita na huwa sometime tunakuwa kama vipofu hata tukiambiwa hili ni shimo tunaenda tuu kama kuku aliyekatwa kichwa. yapo mengi ambayo yako wazi kabisa ila hatuyaoni wala kusikia na hata tukiambiwa hatusikii ila yakitukuta ndo balaa lake hapo
 
Hivi wanaume ndivyo mlivyo???!Mimi nilidhani WANAWAKE ndivyo baadhi yetu tulivyo?!
 
Kuna sometime tunakuwa kama wajinga na kinachotufanya tuwe hivyo ni kitu kidogo sana na sometime cha kijinga ila ndo hivyo tukikamatika inakuwa issue kutupa mapungufu au madhara ya kupenda kwetu
 
Inabidi unipe siri ya hicho “kitu kidogo“ aisee.
 
Hivi sikuiz kuna maana ya kuvishana pete kweli?ikiwa mwanamke akifika steet za mbali anaivua na kuiweka kwenye pochi.wat does it mean......?

cs-cluck-out.jpg
kuku wa kienyeji..."wako akiwa kwako, akitoka si wako!"
 
Back
Top Bottom