Informers wa Mange Kimambi huwa wanampa matango pori sana

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,460
Reaction score
4,166
Nimepitia uzi wa the so called mwanaharakati uchwara Mange kimambi,nimeona amepotosha umma dhidi ya serikali yetu tukufu.

Huyu mwana mama amedanganya umma kuwa wanajeshi wamemtumia screenshots za kutumiwa pesa eti za shukrani kwa kazi nzuri ya kuua watu waliyoifanya, nimeangalia tarehe ya hiyo miamala na amount iliyotumwa nikajiridhisha kuwa Madai yake ni ya uongo.

Kila tarehe 15 ya mwezi wanajeshi wote huwa wanapokea 310k kama ration allowance,na ndio kilichofanywa na serikali hiyo tarehe Mange anayoisema.

Naomba umma wa watanzania kumpuuza huyu mwana mama.

Screenshot_20251118_073550_Instagram.jpg
 
Ila tupuuzie uchaguz fake na mauaji ya watanganyika au siyo..pia tupuuzie wizi wa mali za umma na pesa za umma unaofanya na maccm eti.
 
Nimepitia uzi wa the so called mwanaharakati uchwara Mange kimambi,nimeona amepotosha umma dhidi ya serikali yetu tukufu.

Huyu mwana mama amedanganya umma kuwa wanajeshi wamemtumia screenshots za kutumiwa pesa eti za shukrani kwa kazi nzuri ya kuua watu waliyoifanya, nimeangalia tarehe ya hiyo miamala na amount iliyotumwa nikajiridhisha kuwa Madai yake ni ya uongo.

Kila tarehe 15 ya mwezi wanajeshi wote huwa wanapokea 310k kama ration allowance,na ndio kilichofanywa na serikali hiyo tarehe Mange anayoisema.

Naomba umma wa watanzania kumpuuza huyu mwana mama.

View attachment 3503605
Ila Mange anawatoa sana jasho nyinyi jamaa mliofeli mtihani wa kidato cha nne.
 
Nimepitia uzi wa the so called mwanaharakati uchwara Mange kimambi,nimeona amepotosha umma dhidi ya serikali yetu tukufu.

Huyu mwana mama amedanganya umma kuwa wanajeshi wamemtumia screenshots za kutumiwa pesa eti za shukrani kwa kazi nzuri ya kuua watu waliyoifanya, nimeangalia tarehe ya hiyo miamala na amount iliyotumwa nikajiridhisha kuwa Madai yake ni ya uongo.

Kila tarehe 15 ya mwezi wanajeshi wote huwa wanapokea 310k kama ration allowance,na ndio kilichofanywa na serikali hiyo tarehe Mange anayoisema.

Naomba umma wa watanzania kumpuuza huyu mwana mama.

View attachment 3503605
Bila shak elimu yako ni ya hapa na pale
 
Kula posho za ccm kojoa kalale, watanzania wa sasa Habari zote za mange wanasoma wanaangalia kila mmoja anatafakari kivyake, watu wa ccm acheni kuwapingia watu jinsi ya kuamini au kutoamini
 
Wanataka watz tukaangalie tbccm hahahhha
 
Nimepitia uzi wa the so called mwanaharakati uchwara Mange kimambi,nimeona amepotosha umma dhidi ya serikali yetu tukufu.

Huyu mwana mama amedanganya umma kuwa wanajeshi wamemtumia screenshots za kutumiwa pesa eti za shukrani kwa kazi nzuri ya kuua watu waliyoifanya, nimeangalia tarehe ya hiyo miamala na amount iliyotumwa nikajiridhisha kuwa Madai yake ni ya uongo.

Kila tarehe 15 ya mwezi wanajeshi wote huwa wanapokea 310k kama ration allowance,na ndio kilichofanywa na serikali hiyo tarehe Mange anayoisema.

Naomba umma wa watanzania kumpuuza huyu mwana mama.

View attachment 3503605
Wee nae juha tu badala kuja evidence ya kuprove wrong unaleta umbumbumbu wako
 
Hujui maana ya propaganda sio wote wanajua hilo kuhusu allowance , ukitaka ushinde vita basi usiwe mkweli hakikisha una jaza sumu kadri uwezqvyo hata kwa vitu vya uongo ili mradi morali iwe juu isishuke
 
Wewe ndo mjinga ,mange iwe kweli au uongo juu ya habari zake,yeye anachofanya ni kuamusha Ari ya wananchi ili waichukie serikali ya CCM.

Hizo ni mbinu za mapambano,nawashanga uvccm kuzidiwa propaganda na mtu mmoja
 
Back
Top Bottom