INFORMATION TECHNOLOGY vs EDUCATION

INFORMATION TECHNOLOGY vs EDUCATION

chikoxalate

Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
62
Reaction score
22
Habari wana jamii forum, naomba kujuzwa kozi ipi ni nzuri zaidi kati ya hizo tajwa hapo juu maana nimechaguliwa kwenye multiple. Note: education (chemistry &biology)
 
Habari wana jamii forum, naomba kujuzwa kozi ipi ni nzuri zaidi kati ya hizo tajwa hapo juu maana nimechaguliwa kwenye multiple. Note: education (chemistry &biology)
Kila moja ina uzuri wake na ubaya wake;
Education (Chemistry & bios) ni coz heavy na ila ipo kuajiliwa zaidi na pia ina soko kwenye hata private school BUT
ICT unaweza kujitegemea na sio coz unayosoma na kutegemea kuajiliwa.! Ajira zake bado ni changamoto hivyo unaandaliwa kujitegemea zaidi. So huo ni mwanga kidogo
 
Piga IT wewe...

Mtu wa IT unaweza ukawa mwalimu na mtaalamu wa tehama

Ila teacher wa bios huwez kuwa mtaalamu wa tehama.. Utabakia kuwa teacher na kucheza na test tube..

Piga IT dogo
 
Back
Top Bottom