Ruud B Nyacki
Member
- Dec 31, 2012
- 24
- 7
Inamana vijana mmeshindwa kabisa kupata kazi sehemu zingine mpaka mkimbilie kwenye majeshi...ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya filauni...Anyway nawatakia kilalakheri
aha aha ha mkuu watu wanajaribu bahati zao kuingia usalama wa Taifa
Habari za muda huu wadau wa JF.
Nimepata taarifa za ndani kabisa,za kuhusu kujiunga na JKT kwa wale wanaotaka,
Habari za chini ya Carpet nilizozithibitisha kutoka chanzo cha ndani cha habari, z pamoja
Ni sawa unachokisema. Lakini yale uliyoweza kuyafanya na ukamudu maisha yako kwa wengine wameshindwa, kama ni biashara mitaji hakuna. Basi kama sio hivyo, weka hapa mbinu za fursa watu wachangamkie.Inamana vijana mmeshindwa kabisa kupata kazi sehemu zingine mpaka mkimbilie kwenye majeshi...ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya filauni...Anyway nawatakia kilalakheri
Baba angu huwa ananichekeshaga sana anavyo niambiaga jeshi ni yawalio feli ndo wanakimbiliaga uko huwez maliza degree alafu uendeteswa na mijizoezi ya ajabu jeshii?
but ki tz tz wanaokimbilia jeshi ni kwa ajili ya njaa .jesi ile sio kazi aiseh kujifunza ku uwa mtuu mpaka afee mmmmh apanaa
Baba angu huwa ananichekeshaga sana anavyo niambiaga jeshi ni yawalio feli ndo wanakimbiliaga uko huwez maliza degree alafu uendeteswa na mijizoezi ya ajabu jeshii?
but ki tz tz wanaokimbilia jeshi ni kwa ajili ya njaa .jesi ile sio kazi aiseh kujifunza ku uwa mtuu mpaka afee mmmmh apanaa
Baba angu huwa ananichekeshaga sana anavyo niambiaga jeshi ni yawalio feli ndo wanakimbiliaga uko huwez maliza degree alafu uendeteswa na mijizoezi ya ajabu jeshii?
but ki tz tz wanaokimbilia jeshi ni kwa ajili ya njaa .jesi ile sio kazi aiseh kujifunza ku uwa mtuu mpaka afee mmmmh apanaa
Habari za muda huu wadau wa JF.
Nimepata taarifa za ndani kabisa,za kuhusu kujiunga na JKT kwa wale wanaotaka,
Habari za chini ya Carpet nilizozithibitisha kutoka chanzo cha ndani cha habari, z pamoja
Asante kwa taarifa kiongozi,lakini kwa nini iwe kwa baadhi ya mikoa na si nchi nzima?
Baba angu huwa ananichekeshaga sana anavyo niambiaga jeshi ni yawalio feli ndo wanakimbiliaga uko huwez maliza degree alafu uendeteswa na mijizoezi ya ajabu jeshii?
but ki tz tz wanaokimbilia jeshi ni kwa ajili ya njaa .jesi ile sio kazi aiseh kujifunza ku uwa mtuu mpaka afee mmmmh apanaa
aha aha ha mkuu watu wanajaribu bahati zao kuingia usalama wa Taifa
Na zile pumba zako unazopost kila baada ya nusu SAA Facebook nawewe unandoto za kuingia usalama wa taifa? Labda kama uvutwe
Nimeongea na Mshauri Mgambo ktk wilaya moja kasema watu wameshaanza kuandikishwa ila unaanzia Kwa mtendaji wako wa Kata