mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,291
- 799
unaongelea ushabiki...utafute umoja wa wachagga kariakoo utajua kuwa wakinanani wana nguvu ya kiuchumi
Mkuu ni kweli kuwa Wakinga wako nyuma kielemu, ila sio kweli kuwa hawana mwamko wa elimu.
Kwa Tanzania maeneo yenye wasomi wengi asilimia kubwa ni mchango wa mkoloni.
Maeneo yenye Kahawa, Pamba na Mkonge ndio yenye wasomi wengi hii ni kwa sababu mkoloni wakati anawekeza maeneo hayo alikua anagawa na elimu.
Mkinga sababu ya kukosa fursa ya elimu ndio maana kawekeza kwenye biashara zaidi, ila tusubiri miaka michache tu tutaona Wakinga wanavyotoa wasomi maana sasa hivi mwamko wa elimu kwa Wakinga umekuwa makubwa zaidi kuliko wakati wowote ule.
Laiti Mkinga angekua na elimu toka zamani, changanya na uwezo wa biashara ulonao mchaga angesubiri sana.
kina kimei wanawapeleka puta sio?acha kuwa na mawazo ya kitoto kwako wew biashara ni kuwa na duka kariakoo biashara zipo za aina nyingi wachagaa mkishafungua kiosk mnaona mnafanya biashara.
zipo biashara babu zipo biashara za hisa online businesses mabusi viwanda mazao zipo tenda broo kote hko mchaga hawezi kugusa acha sifa za kijinga pngne hujawai kuuza hata pipi
ha ha ha...kuna msukuma mmoja pale arusha anaitwa Sunda..kapiga mgorofa wa maana..
haha ushabiki wako ni wa kijinga mkinga gani anafanya biashara online wakati asilimia 98 ya wakinga hawajasoma!!!...usiulize kuhusu usomi wa wachaggaacha kuwa na mawazo ya kitoto kwako wew biashara ni kuwa na duka kariakoo biashara zipo za aina nyingi wachagaa mkishafungua kiosk mnaona mnafanya biashara.
zipo biashara babu zipo biashara za hisa online businesses mabusi viwanda mazao zipo tenda broo kote hko mchaga hawezi kugusa acha sifa za kijinga pngne hujawai kuuza hata pipi
wakinga what a hell....taja wachina ,waarabu na wahindi achana na hao wala mtori na wala mbwa
waha nao wachawi ndugu na wakinga ,wasukuma wao maalbinoSijaona comment za wengine ila kwangu mimi hayo makabila mawili siyakubali hata kidogo, wachaga biashara zao nyingi ni za ujambazi na hao wakinga wamemaliza ndugu zao kwa ajili ya utajiri.Kwa hiyo please sema makabila mengine eg Waha,Wasukuma etc ambao wanafanya biashara halali
Hayo makabila yoote uliyotaja % 100 Wachaga pia Wakinga wanapesa za Kichawi, maarufu kama pesa za Babu....chunguza kwa Makini utasadiki hilo.....wanapesa nyingi sana ila hawana Amani na Familia zao. .....wanauwa Wazazi, Watoto, Waume, Wake zao ili tu wapate pesa...Mleta mada hii jipange kuchunguza kwa Makini kisha lete uzi huu tena uone watu wanavyofahamu makabila haya
Imekufika kwenye koo! Bro tuliza Mori!acha kuwa na mawazo ya kitoto kwako wew biashara ni kuwa na duka kariakoo biashara zipo za aina nyingi wachagaa mkishafungua kiosk mnaona mnafanya biashara.
zipo biashara babu zipo biashara za hisa online businesses mabusi viwanda mazao zipo tenda broo kote hko mchaga hawezi kugusa acha sifa za kijinga pngne hujawai kuuza hata pipi