Influence ya Wachagga Vs Wakinga in Dar Es Salaam

Status
Not open for further replies.
Wachaga na wakinga ni sawa na Scania na Vitz
 
wewe dreamboy makabila ya kanda ya ziwa hayajengi sana daw wao wamebezi kwenye mjii wao mkuu mza ndio maana ukuwaji wake unakasi nao wangeng'ang'ania kuwekeza dar kama makabila mengine mza nayo ingekua hoi kama miji mingine
 
mkinga hatari sana....kupeleka babake ili biashara ikae sawa haoni shida kabisa....wako juu sahizi
 
Pale kariakoo sasa hivi mtifuano wa wazawa ni kweli ni kati ya WACHAGA kutoka kibosho na WAKINGA.
 
Hao wakinga ni watu hatari sana wanaamini na biashara zao wanatumia nguvu za giza sana.
Jan nilifanya biashara na mkinga mmoja wana vitu vya ajabu,,,, alikataa kabisa kulipia bank na akakataa kunipa hela mkononi badala yake ziliwekwa kwny begi na akatupia siti ya nyuma.
 
Kwani wewe hujui methliisemayo "Mpanda ngazi hushuka"?
 
Wakinga wameingia mjini DSM hasa Kariakoo kwa kutumia uchawi. Kila kukicha katika maduka yao utasikia binamu au mpwa kaangukiwa robota akiwa stoo na kufariki. Ikipita siku mbili mwenye biashara ananunua mtaa kariakoo. Wachaga wanapambana ila pia nimesikia wachaga wachache wameamua kuwa wakinga kwa msemo kama huwezi kupambana nao ungana nao.
 
Utawajua Tu wakinga n kina Nan, waulize wahindi Wako wapo sasa kariakoo! Chaga endeleen kufkir karibu cc tunafikiria mbal zaid yenu,mbele yenu nyuma yetu
 
Tujadili ya maana kwamba mji wa Dar unapanuka kwa kasi visivyo! Maghorofa makubwa yana sehemu yake ya kati na ya mbili tatu yana sehemu zake. Sasa hivi hakuna cha mipango miji wala nini maghorofa yanajengwa kila mahali utafikiri hakuna wataalamu wa hizi fani? Hawajajipanga kabisa! Mtu ukipata kiwanja mahali lazima uende mipango miji watakuambia sehemu hiyo unaweza kujenga jengo la ghorofa ngapi.
Wenye pesa zao wakiamua wameamua rushwa inatembezwa vibali vinatoka jengo linapanda. Wenye serikali wameshatembea maeneo mengi hapa duniani na wanajua fika jinsi miji inavyotakiwa iwe lakini mhh. Nazikumbuka zile enzi za Tume ya Jiji angalau kulikuwa na kufuata sheria.

Maendeleo yakipatikana tumshukuru Mungu sio kusema kabila fulani liko juu au vipi.
 
Hayo makabila mawili, moja washirikina sana kwenye biashara, lingine wezi, hawaogopi kuuwa ili wapate utajiri (mabilionea wa.....),ushirikina wamo na wakabila.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…