Infinix SMATR 5 hakatoi mwanga, nikipiga

Infinix SMATR 5 hakatoi mwanga, nikipiga

Admin1988

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2017
Posts
1,611
Reaction score
1,869
Habarini wakuu!
Niki mpigia mtu, au nikipiga screen ina kuwa nyeusi,
haoleti mwanga,
HIVYO NASHINDWA HATA KUKATA SIMU, N.K

Msaada tafadhari.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Nishaliona hili tatizo kwa mtu na hiyohiyo infinix. Ngoja waje wakupe muongozo
 
Habarini wakuu!
Niki mpigia mtu, au nikipiga screen ina kuwa nyeusi,
haoleti mwanga,
HIVYO NASHINDWA HATA KUKATA SIMU, N.K

Msaada tafadhari.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Nikushauri ktk ile magari wa KUONGEZA mwanga kuna herufi A, sasa hakikishaniyo A hakipo bold ..yaan touch iyo A, yaan ile brightness inakuwa sio automatic

Sijui umeelewa ?

Ushauri endelevu Infinix izo ni Tecno zilizo changamka achana nazoooo
 
Asante mkuu,
ngoja nifuate hayo maelekezo
 
Kama ina protector, iondoe hiyo. Tatizo litaisha. Iwapo hakuna protector, ingia google, search location ya proximate sensor kwa model ya simu yako, kisha pangusa n kitambaa kisafi na laini ama tissue (tishu) tatizo litaisha.
Asante, ntafanya hivyo!
 
Habarini wakuu!
Niki mpigia mtu, au nikipiga screen ina kuwa nyeusi,
haoleti mwanga,
HIVYO NASHINDWA HATA KUKATA SIMU, N.K

Msaada tafadhari.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sensors zimezibwa! Futa na kitambaa ukanda wote wa juu wa simu yako, au toa protecter, unapoweka nyingine, hakikisha hauzibi proximity sensors. (Kama sijakosea.)
 
Mkuu leta mrejesho, hakuna cha kuongeza majibu yashatolewa hapo juu. Wala usiende kwa fundi, bandua hiyo protector tu.
 
Back
Top Bottom