Infinix phones: Mnasemaje kuhusu hizi simu wataalam?

Hazitengenezwi china, zinaundwa (assembled) china sababu ya cheap labor. Vifaa vinasanifiwa (designed) marekani na kutengenezwa na makampuni mbalimbali yanayojielewa, then vinapelekwa china kuundwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mtu ambaye hajawah kutumia iphone hawez jua aunanaetumia iphone ya kanjanja hawez kujua. Designed by Apple California, assembled in China...CHEAP LABOR MACHINA YAPO MENGI YAMEKAA KAA TU

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kiukweli tecno ubora wake sio wa kiwango cha nimezitumia sana japo sikomi kwa sababu ndio simu ninazoweza kuzimudu kwa sasa simu zinastuck mara zinastop mara zinajizima yaani tafrani
Mkuu labda kama unatumia tecno zenye RAM 1GB jarbu kutumia tecno zenye kuanzia at least RAM 2GB au tumia zenye 3GB kabisa uone kama itastuck...mimi nilitumia camon cx na nlkuwa nacheza game yenye ukubwa wa zaid 200MB na-minimize naendelea na mambo mengne na wala simu haistuck i won't clear cache na baadae naendelea na game yangu smoothly!!

Ni muda gani umetumia? Game zangu nyingi ni mb*800 na kuendelea Huawei, Nokia Samsung na aina HTC mbona ziko vizur tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni muda gani umetumia? Game zangu nyingi ni mb*800 na kuendelea Huawei, Nokia Samsung na aina HTC mbona ziko vizur tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitumia kama miezi 3 na ilikuwa perfect..m mwenyew napenda sababu unapata performance nzur at low price. Ila kama ulikuwa game mb 800 kwenye tecno ya gb 1 lazma isumbue....na hapo kwenye list nmetumia sana huawei na samsung pia zpo safi sana...ila tecno model ya camon kwanzia c9 naona vzur

Tumia mwaka mkuu tecno ikiwa bado mpya inakupa performance nzur tu lakini baada ya hapo hakuna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shida moja ni kwamba wengi mnajadili kishabiki na hujawahi kutumia wala specs za hiyo simu huijui mnabwabwaja kama kasuku, ni vizuri kusikia ukasikiliza wenzako wanaojua na uwe wa mwisho kutoa hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia mwaka mkuu tecno ikiwa bado mpya inakupa performance nzur tu lakini baada ya hapo hakuna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu ila kwangu tecno ni nzuri tu hao wanazidiss wametumia za miaka ya nyuma sana au anatumia tecno za kitoto lkn kuna model nyingne za tecno kama zile phantom na hizi camon zina performance nzuri sana ila storage ndo ipo limited sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetumia tecno nyingi mkuu labda hizo phantom na cx ndio sijatumia nacheza game tofauti tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
Bas mkuu inaonekana ulikuwa kwenye zile tecno za RAM mb 512 mpk 1 gb ... smartphone phone nzur for gaming at least ianzie RAM 3gb with 8 core processor (octacore) na iwe Full HD display hapo sidhan kama uta-experience lags in performance au game ku stuck

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kuwa kutumia Tecno, infinix na wadogo zake ni laana, samahani lakn,......!!
 
Wengi wao wanao ziponda tecno na infinix kwenye uu uzi ndo watumiaji wazuri wa izo simu.. Wabongo kwa kutaka kuonekana bhana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom