Infinix Note 12 VIP ni simu bora 2022

Infinix Note 12 VIP ni simu bora 2022

Fahamu sifa ya Infinix NOTE 12 VIP
Kampuni ya Infinix imetoa toleo jipya la simu kwa mara ya kwanza yenye watts 120 !! tarehe 16 may 2022 , kampuni ya Infinix ilizindua matoleo matatu ya mfululizo wa series ya Note kuanzia Infinix NOTE 12 VIP , NOTE 12 pamoja na NOTE 12 PRO.

Unajua kwanini ununue Infinix NOTE 12 VIP !!

𝐓𝐞𝐤𝐧𝐨𝐥𝐨𝐣𝐢𝐚 𝐁𝐨𝐫𝐚 𝐲𝐚 𝐟𝐚𝐬𝐭 𝐜𝐡𝐚𝐫𝐠𝐢𝐧𝐠
Kupitia simu ya Infinix NOTE 12 VIP Kasi ya kuchaji Simu imekua Bora unaweza chaji simu na kujaa haraka bila kuhalibu mifumo ya Betri kuanzia asilimia 0% mpaka 100% ndani ya dakika 17 tu. Betri lenye 4500mah hivyo inafanya uchaji simu ndani ya muda mfupi sana.

𝐊𝐢𝐨𝐨 𝐁𝐨𝐫𝐚 𝐤𝐚𝐛𝐢𝐬𝐚 𝐂𝐡𝐚 𝐂𝐡𝐚 𝐀𝐦𝐨𝐥𝐞𝐝 𝐃𝐢𝐬𝐩𝐥𝐚𝐲
Nani asiyejua ubora wa Amoled Display!! Ni kioo kizuri chenye kuonyesha kitu kwa ubora wa Hali ya juu kabisa kwanza ni inchi 6.7 ya Amoled ukitizama kitu unakifurahia zaidi pia Kuna security protection ya kulinda macho yako wakati unatumia simu.

Pamoja na 𝗿𝗲𝗳𝗿𝗲𝘀𝗵𝗶𝗻𝗴 𝗿𝗮𝘁𝗲 𝘆𝗮 𝟭𝟮𝟬𝗛𝘇 Yani ukigua kitu tu kinafunguka ndani ya sekunde 1 hivyo kuifanya skrini yako kufungua kitu kwa haraka zaidi na kuboresha matumizi na kufanya ufurahie simu yako kwenye matumizi.

𝐊𝐚𝐦𝐞𝐫𝐚 𝐁𝐨𝐫𝐚 𝐲𝐚 𝐅𝐮𝐥𝐥 𝐇𝐃
Wala huitaji kuweka filter kitu natural kabisa!! Watumiaji wa Infinix NOTE 12 VIP utaweza kupiga picha na ikatoka Kali yenye megapixel 108mp pamoja na lenzi ya pembeni Pana yenye 13mp itakufanya hutoe picha zenye ubora zaidi.

Huku megapixel ya mbele ni 16mp yenye LED mbili kwa ajili ya kutoa picha Kali nzuri kabisa kupitia self hata kwenye giza totolo.

𝐑𝐚𝐦 & 𝐬𝐭𝐨𝐫𝐚𝐠𝐞 𝐳𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐧𝐠𝐮𝐯𝐮
Kupitia Infinix NOTE 12 VIP utaweza kuongeza ram na kutoka GB8 mpaka GB13 kwa kuunganisha pamoja na kufanya kufungua program mbalimbali kwa haraka bila kuganda Ganda kipengele hiki kinaongeza ufanisi zaidi wa kufanya Kazi kwenye simu.

Internal storage sasa kuanzia 128 mpaka 256 GB utasikia tu kwa majirani simu kujaa na kuganda Ganda.

𝐋𝐚𝐲𝐞𝐫 𝐆𝐫𝐚𝐩𝐡𝐞𝐧𝐞 𝐜𝐨𝐨𝐥𝐢𝐧𝐠 𝐬𝐲𝐬𝐭𝐞𝐦
Ukitumia simu ya Infinix NOTE 12 VIP masuala ya simu kupata joto huwezi kusikia maana imekuja ba Teknolojia ya kupooza simu haraka ya graphene 9 na kuwa na uwezo wa kupooza kifaa chako mpaka kufikia nyuzi joto 15. Hii imekuja kwa wale watu wa kutumia simu siku nzima kwani utaichoka wakati unatumia.

𝐏𝐫𝐨𝐜𝐞𝐬𝐬𝐨𝐫 𝐲𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐧𝐠𝐮𝐯𝐮 𝐆𝟗𝟔
Simu hii imekuja na processor kubwa ya G96 ni kubwa kuliko simu zote za mwanzo za Infinix na kuifanya kuwa simu ya kipekee Sana kwani ukiwa ufanisi wake ni mkubwa , unaweza cheza game , kufanya vitu mbalimbali bila shida yoyote.

Infinix NOTE 12 VIP gharama yake --> 800,000 tu.
𝑺𝒑𝒐𝒏𝒔𝒐𝒓𝒆𝒅 by @infinixmobiletzView attachment 2260114
Bora nikanunue Nokia yenye media Tek kuliko infinix yenye sifa hizo
 
Badala ya kusema refresh rate ni 120Hz umesema ni 120watts za nini hizo mkuu?😂😂😂
 
94
Sio wao tu hata Redmi note 11 pro nayeye pia kaweka Helio G96
Hata 11 pro imepata backlash sana, maana ni downgrade compare na 10 pro.

Kifupi G96 kwa 2022 kwa simu za $200 kupanda haina maana.

Snapdragon 695 ni soc nzuri sana kwa same price point, zipo Vivo, Realme, iqoo, Motorola, na wengineo wana simu za Sd 695 kwa hii bei.

Even Samsung A33 ni better choice na Exynos 1280.
 
Russia cuts natural gas by 40% to Germany and Italy because of a pump problem.

Russia Cuts Natural Gas by 40% to Germany and Italy - Pump failures

Russia's state owned natural gas company, GAZPROM has been forced to reduce pumping of natural gas through the Nord Stream pipeline into German and Italy by 40% because Canada will NOT return a remanufactured gas compressor pump from Montreal, because of economic sanctions.
The remaining pumps on the Nord Stream pipeline cannot continue to handle the full load of 167 million cubic meters of gas per day, and must be scaled back to have continued service life.

The price for European natural gas has surged this morning because of the forty percent cut by Russia.
Siemans Energy said a gas turbine which powers a compressor station on the Nord Stream pipeline, had been in service for more than ten years. It had been taken to Montreal for a scheduled overhaul.
Because of economic sanctions imposed by Canada, the company has been unable to return the overhauled turbine to its' customer, GAZPROM.
Thus, Europe as a whole will only be able to get 100 million cubic meters of natural gas per day, instead of its needed 167 million per day.

EDITORIAL OPINION
Once again, western economic sanctions imposed against Russia, backfire and harm only the west.
It should be noted that recently, German Chancellor Scholz publicly stated that Germany was going to rebuild its army into the largest army in Europe; something that hasn't happened since the time of Hitler.
One wonders how Germany plans to build that army when it doesn't have enough natural gas supply to even run the country?
The people imposing these economic sanctions against Russia to me frankly seems to be special kind of loons.
 
Huu ni utani, hii simu haifikii hata Redmi Note 11 Pro 5G, ambayo bei yake ni ndogo kuliko hiyo infinix
Weeee sio kwel infinix wamekuwa wa kwanza katika sekta ya Kuwahi kujaa kuliko hata hiyo Redmi 11
 
Ni Redmi Note 11 Pro 5G sio Redmi 11, kwa hiyo kuwahi kujaa ndio kunaifanya infinix note 12 vip kuwa bora ziaid ya simu nyingine?
 
Inawezekana mpaka Sasa infinix ndiyo wa kwanza duniani kuleta simu yenye kujaa kwa dakika 17 tu hivyo kwenye fast charger wapo vizuri
 
Infinix gallery yake mpaka udownload
 
Hiyo simu ni overpriced bila sababu za msingi
8GB RAM inauzwa kwa TSh 750,000/= na haina 5G, kumbuka ni 2022 hii
 
Fahamu sifa ya Infinix NOTE 12 VIP
Kampuni ya Infinix imetoa toleo jipya la simu kwa mara ya kwanza yenye watts 120 !! tarehe 16 may 2022 , kampuni ya Infinix ilizindua matoleo matatu ya mfululizo wa series ya Note kuanzia Infinix NOTE 12 VIP , NOTE 12 pamoja na NOTE 12 PRO.

Unajua kwanini ununue Infinix NOTE 12 VIP !!

𝐓𝐞𝐤𝐧𝐨𝐥𝐨𝐣𝐢𝐚 𝐁𝐨𝐫𝐚 𝐲𝐚 𝐟𝐚𝐬𝐭 𝐜𝐡𝐚𝐫𝐠𝐢𝐧𝐠
Kupitia simu ya Infinix NOTE 12 VIP Kasi ya kuchaji Simu imekua Bora unaweza chaji simu na kujaa haraka bila kuhalibu mifumo ya Betri kuanzia asilimia 0% mpaka 100% ndani ya dakika 17 tu. Betri lenye 4500mah hivyo inafanya uchaji simu ndani ya muda mfupi sana.

𝐊𝐢𝐨𝐨 𝐁𝐨𝐫𝐚 𝐤𝐚𝐛𝐢𝐬𝐚 𝐂𝐡𝐚 𝐂𝐡𝐚 𝐀𝐦𝐨𝐥𝐞𝐝 𝐃𝐢𝐬𝐩𝐥𝐚𝐲
Nani asiyejua ubora wa Amoled Display!! Ni kioo kizuri chenye kuonyesha kitu kwa ubora wa Hali ya juu kabisa kwanza ni inchi 6.7 ya Amoled ukitizama kitu unakifurahia zaidi pia Kuna security protection ya kulinda macho yako wakati unatumia simu.

Pamoja na 𝗿𝗲𝗳𝗿𝗲𝘀𝗵𝗶𝗻𝗴 𝗿𝗮𝘁𝗲 𝘆𝗮 𝟭𝟮𝟬𝗛𝘇 Yani ukigua kitu tu kinafunguka ndani ya sekunde 1 hivyo kuifanya skrini yako kufungua kitu kwa haraka zaidi na kuboresha matumizi na kufanya ufurahie simu yako kwenye matumizi.

𝐊𝐚𝐦𝐞𝐫𝐚 𝐁𝐨𝐫𝐚 𝐲𝐚 𝐅𝐮𝐥𝐥 𝐇𝐃
Wala huitaji kuweka filter kitu natural kabisa!! Watumiaji wa Infinix NOTE 12 VIP utaweza kupiga picha na ikatoka Kali yenye megapixel 108mp pamoja na lenzi ya pembeni Pana yenye 13mp itakufanya hutoe picha zenye ubora zaidi.

Huku megapixel ya mbele ni 16mp yenye LED mbili kwa ajili ya kutoa picha Kali nzuri kabisa kupitia self hata kwenye giza totolo.

𝐑𝐚𝐦 & 𝐬𝐭𝐨𝐫𝐚𝐠𝐞 𝐳𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐧𝐠𝐮𝐯𝐮
Kupitia Infinix NOTE 12 VIP utaweza kuongeza ram na kutoka GB8 mpaka GB13 kwa kuunganisha pamoja na kufanya kufungua program mbalimbali kwa haraka bila kuganda Ganda kipengele hiki kinaongeza ufanisi zaidi wa kufanya Kazi kwenye simu.

Internal storage sasa kuanzia 128 mpaka 256 GB utasikia tu kwa majirani simu kujaa na kuganda Ganda.

𝐋𝐚𝐲𝐞𝐫 𝐆𝐫𝐚𝐩𝐡𝐞𝐧𝐞 𝐜𝐨𝐨𝐥𝐢𝐧𝐠 𝐬𝐲𝐬𝐭𝐞𝐦
Ukitumia simu ya Infinix NOTE 12 VIP masuala ya simu kupata joto huwezi kusikia maana imekuja ba Teknolojia ya kupooza simu haraka ya graphene 9 na kuwa na uwezo wa kupooza kifaa chako mpaka kufikia nyuzi joto 15. Hii imekuja kwa wale watu wa kutumia simu siku nzima kwani utaichoka wakati unatumia.

𝐏𝐫𝐨𝐜𝐞𝐬𝐬𝐨𝐫 𝐲𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐧𝐠𝐮𝐯𝐮 𝐆𝟗𝟔
Simu hii imekuja na processor kubwa ya G96 ni kubwa kuliko simu zote za mwanzo za Infinix na kuifanya kuwa simu ya kipekee Sana kwani ukiwa ufanisi wake ni mkubwa , unaweza cheza game , kufanya vitu mbalimbali bila shida yoyote.

Infinix NOTE 12 VIP gharama yake --> 800,000 tu.
𝑺𝒑𝒐𝒏𝒔𝒐𝒓𝒆𝒅 by @infinixmobiletzView attachment 2260114
Inabidi uwalipe JF mkuu,hii ni promo ya wazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom