Nimejaribu kufuata taratibu za ku root simu kwa kudownload app ya kingoroot kweny pc. Ilipofika hatua ya kuiconect na pc haiconect sasa sijui nakosea wapi? Msaada tafadhali
Hivi simu aina ya infinix not 3 zinawezekana kuwa rooted kwa pc? Na kama ndio nitumie app gani kukamilisha zoezi zima? Hapa niko na pc yangu nasubiri maelekezo.
hio app inatumia njia za kawaida au adb? una driver za mediatek?
rudi huko ulipoitoa hio tutorial ya kingoroot angalia wametumia adb au njia ya kawaida?
kama ni adb utaenda setting kisha developer option kisha usb debuging eka on. kama huna developer option nenda setting kisha about kisha kwenye build number gusa mara nyingi nyingi itakuja developer option kwenye setting.
kama ni njia ya kawaida utahitaji drivers za mediatek kwenye pc yako itategemea una mediatek ipi maana zipo nyingi nyingi angalia specs za simu yako. zipo mt65xx mt67xx etc.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.