omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Habar wana jf me natumia simu aina ya infinix hua Mara kwa Mara inaniletea notifications ya ku- update system ,,,,,naomba kuuliza ni zipi faida za ku-update system
Okay thanksNenda kwenye settings, shuka hadi kwenye About device, nenda kwenye System Update.
Utaona wameandika hiyo update ina faida gani.
Update yoyote ile inakuwa na kitu kinaitwa change log, ukiisoma utaelewa faida gani utapata ukii update hio simu. Mfano angalia hii screenshot ya updateHabar wana jf me natumia simu aina ya infinix hua Mara kwa Mara inaniletea notifications ya ku- update system ,,,,,naomba kuuliza ni zipi faida za ku-update system
Weka picha mkuu tuone mi yangu ni infinix pro note 4 au 571 ilikuwa android version 7 naguot ila baada ya kuomba update imekwenda version 8.1 na zamani ilikuwa unasoma 4G ila now baada ya kuapdate inasoma LTE naona imeongezeka sana na imekuwa tami zaid hata net iko fasta zaidi. Kwa update tu wala usiogope.Habar wana jf me natumia simu aina ya infinix hua Mara kwa Mara inaniletea notifications ya ku- update system ,,,,,naomba kuuliza ni zipi faida za ku-update system
Me nime update ila cjaona tofauti yeyote cjui kwannYangu now ni version 8.1View attachment 923934
Me nime update ila cjaona tofauti yeyote cjui kwann
Kwaio utofaut unaonekana kwa wale wenye matumizi kama kucheza game auKama matumizi yako ni kupiga,kutuma msg inakuwa ngumu kujua mabadiliko mkuu
Kwaio utofaut unaonekana kwa wale wenye matumizi kama kucheza game au
Hamna kitu mkuuSasa km mtu kasema zamani ilikuwa inaandika 4G nw ni LTE ww hujaona,hata new wallpaper hujaona au muonekano wa UI mpya hujagundua
Unataka kusaidiwa nn?
Hatare mkuu tunaenjoy sana yaaniWenye Android version 8.1.0 tunapata raha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]