Tatizo la waswahili ni ethics za kazi. Hawakawii kukusaidia kufumania kweli, halafu kwesho uko kwa shigongo. Kuna ndugu yangu anatumiaga vijana wa pikipiki, na kila siku anamfumania mkewe na kumtimua. Haipiti mwezi wanarudiana, naona ndo style ya maisha yao.

Ya nini kumwaga mchele hadharani. Umeshaambiwa PM for further details. Umeshaambiwa utapewa taarifa vielelezo vyote vilivyopatikana. Sasa shida ni evidence au siri za kazi?
Mwanamke ni zaidi ya kick!!! wanawake wengi vitu vidogo vidogo sana ambavyo wanaume wengi wanavidharau huwa vinawatuliza kabisa!!! Tatizo ni kwa wafungua flaisi tu!! Wengine hata mke ajitahidi vipi lakini nje lazima!! Laana hii!!
Karibu sana Fanta Face
OH!Latest Technology for surveillance and investigation!
Tunatoa hudumu kwa wale wanaohisi wapenzi wao si waaminifu na wanataka wapate uhakika juu ya hisia zao.
Huduma ni ya siri sana na Phase 1 inachukua wiki moja ambapo unapewa taarifa ya awali na kuonyeshwa vielelezo vyote vilivyopatikana.
NB: Masharti na vigezo vikali kuzingatiwa. Pia be aware the service is expensive.
PM for further details.

Tunatoa hudumu kwa wale
wanaohisi wapenzi wao si waaminifu na wanataka wapate uhakika juu ya
hisia zao.
Huduma ni ya siri sana na Phase 1 inachukua wiki moja ambapo unapewa
taarifa ya awali na kuonyeshwa vielelezo vyote vilivyopatikana.
NB: Masharti na vigezo vikali kuzingatiwa. Pia be aware the service is
expensive.
PM for further details.