Infi muwashukuru sana

Nani kakwambia kuwa kumegwa ni dhambi Maty?Anyway, kama ni mwaka sasa bado kumegwa basi nadhani itakuwa taarifa muhimu sana akiipata mpwa Finest!

Hebu nipe ufafanuzi hapo kwenye bold mana me nahic kumegana kabla ya ndoa ni sambi kubwa
 
Nani kakwambia kuwa kumegwa ni dhambi Maty?Anyway, kama ni mwaka sasa bado kumegwa basi nadhani itakuwa taarifa muhimu sana akiipata mpwa Finest!

Hebu nipe ufafanuzi hapo kwenye bold kwani kwa sasa mie ninachojua kumegana ni sambi kubwa tu
 
Hebu nipe ufafanuzi hapo kwenye bold mana me nahic kumegana kabla ya ndoa ni sambi kubwa

Maty itabidi twende tupime kwanza kama oil imo kabla ya kushusha engine pia itabidi niangalie na gear box yako kama itafanya kazi vizuri
 
Hivi maty ni nani wajameni hebu nipeni miwani yangu hapo........:couch2:
 
Maty itabidi twende tupime kwanza kama oil imo kabla ya kushusha engine pia itabidi niangalie na gear box yako kama itafanya kazi vizuri

Ukijaribu tu umikwisha kwani hutorudi kwako siku hiyo na ndio utakuwa umevunja moja ya sheria za infidelity kwani hii engine.............. he nilitaka kumaliza kumbe kuna watoto hapa
 
Duh regency balaa naikubali saaaaaaanaaa na yule mkubwa wake anayeitwa FEMOUS GROUSE
famous-grouse.jpg
 
Ukijaribu tu umikwisha kwani hutorudi kwako siku hiyo na ndio utakuwa umevunja moja ya sheria za infidelity kwani hii engine.............. he nilitaka kumaliza kumbe kuna watoto hapa

halafu wewe Maty, wewe!!!!kwani hiyo engine ina turbo au?
 
halafu wewe Maty, wewe!!!!kwani hiyo engine ina turbo au?

Nini turbo? We acha tu yaani hawa watoto wanaochungulia humu wanasababisha tushindwe ku..................... bac bwana
 
Ukijaribu tu umikwisha kwani hutorudi kwako siku hiyo na ndio utakuwa umevunja moja ya sheria za infidelity kwani hii engine.............. he nilitaka kumaliza kumbe kuna watoto hapa

Hebu kazisome tena vizuri sheria za infidelity usije ukakimbia na nguo mkononi
 
Nini turbo? We acha tu yaani hawa watoto wanaochungulia humu wanasababisha tushindwe ku..................... bac bwana

sasa unaonaje Maty ukinipa tenda ya kufanyia service hiyo engine yako?kwani ndo shughuli zangu hizo?
 
Infi (hasa jinsia me) muwashukuru sana watengenezaji wa ze valuu na ze konyegi maana zinawasaidia sana kwenye ku du ze nidi fulu mana bila hizo wengi wangekuwa wanaadhirika uongo?

Hahahaha kazi na dawa
 
hhahaha kiongozi huyu atakuwa pre standard one nini...sijakagua wanafunzi siku nyingi....:d

Halafu si unajua ilivyo raha unapokuwa unakagua wanafunzi unamwambia mwenyewe fanya hivi usifanye hivi
 
Kama alivyosema mchangiaji hapo juu, mwanaume yeyote anayetegemea kupata hivyo viloba ndo shughuri iende sawa sawa basi ana matatizo. Navyojuwa lishe bora, mazoezi kwa ujumla na akili iliyotulia kwa mwanaume vinakusaidia kuwa na performance Nzuri. Mbali na hapo, hivyo shughuri ni kwa raha zenu wote wawili siyo kukomoana, au? Hizo pombe bila lishe bora sizani kama hiyo performance intakuwa ya mda mrefu. Kwa hiyo ambao hawatumii hivyo viloba hawaifanyi hiyo shughuri sawa sawa? Kwa style hiyo kama hujaenda kuvipata hivyo viloba siku hiyo una-underperform maana ni kitu kilichojengeka akilini kuwa viloba vinakupa nguvu ya kufanya shughuri. Poleni sana.
 
Back
Top Bottom