nduza
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,592
- 2,504
Nenda China uje kuwauzia 120000Mbona mna tamaa sana jamani, IF THERMOMETER hadi inafika hapa toka CHINA ni 100, 000 Tsh tu maximum, unauzaje Laki tatu aisee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda China uje kuwauzia 120000Mbona mna tamaa sana jamani, IF THERMOMETER hadi inafika hapa toka CHINA ni 100, 000 Tsh tu maximum, unauzaje Laki tatu aisee?
Mbona hujaandikwa inazalishwa na nani na anwani yake ni ipi? halafu hiyo lebo imewekwa kisanisanii haina muhuri wa TBS na wala ingredients na asilimia zqake juaonyesha maana kuna watu wanauziwa manukato mijini yenye asilimia 40 ya alcohol wanajiaminisha ni sanitizer sijui zimeandikwa LIFLEA
Kuna Barakoa na BorakoaWabongo wanatamaa sana ..yani kwenye matatizo badala ya kuhurumiana wao wanachukulia kama fursa za kibiashara .yani hizi thermometet sanitizers na facemask(barakoa)wamepqndisha bei sana kuna duka moja nilienda kuulizia mask moja wananiambia buku tano wakati kipindi cha nyuma nilikuwa nanunua moja kwa jero..(ninauwelewa kuhusi quality ni ileile ila tu tamaa zao zimewazidi)
Sent using Jamii Forums mobile app
-80Sanitizer inayokubalika inatakiwa iwe na alcohol ngapi?
Haya sasaMzee baba IR thermometer 300k .
Mkuu, be serious, reconsider your prices.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilinunua mwaka 2015 ilikuwa dola 15 kila kitu wakati huo ndo zilikuwa zinaingia sokoni,,nina imani zimeshuka beiView attachment 1420552
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Barakoa na Borakoa
Nalipia kutumia kadi ya benki visa au mastercard pia unaweza kulipia kwa mpesa au tigopesa ukitengeneza akaunti ya mastercardBrother samahni nina shida kidogo naulizia kule kwenye alibaba vitu unalipiaje
Sent using Jamii Forums mobile app