Tizama hapa
at least 2---inamaanisha isipungue 2 yaani unatakiwa utoe matokeo ambayo namba ndogo kabisa ni 2 mfano 2, 3, 4, 5, 6, 7...........
at most 2---inamaanisha isizidi 2 yaani unatakiwa utoe matokeo ambayo namba kubwa kabisa ni 2 mfano :2, 1, 0 , -1, -2, -3...........
not more than 5--- inamaanisha isizidi 5 yaani unatakiwa uorodheshe matokeo yote pungufu ya 5 pasipo kuijumuisha 5 yenyewe mfano : 4, 3, 2, 0, -3........
More than 5---inamaanisha matokeo zaidi ya 5 pasipo kuijumuisha 5 yenyewe . mfano 6, 7, 8, 9