GE2025 INEC, NIDA wamkana Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hapo kukanusha haitoshi, Cha msingi iundwe tume huru ya kuchunguza mifumo hiyo..
 
Hapo kukanusha haitoshi, Cha msingi iundwe tume huru ya kuchunguza mifumo hiyo..
 
Kwa taasisi zenye accountability nilitegemea nione hawa wakuu waseme wana karibisha uchunguzi huru wa wadau ili kuji ridhisha lakini wanatoka tu kama madume ya nyani na kusema kuwa sio kweli
 
Yaani ww uilitegemea hawa WAHUNI waseme ni KWEELI???These are just propagandas. Chanzo chenyewe Mwananchi....hizi ni media znatumiwa na SERIKALI YA CCM a.k.a WAHUNI according to Polepole ili kuwaxubaisha Watz. Sisi tunasimama na Polepole. Tulitegema INEC, NIDA na CCM kukanusha taarifa za Polepole ni kawaida ya hawa Wahuni
 
Polepole ana chuki kubwa sana binafsi kwa rais na CCM kwa ujumla
 
Tangu lini INeC wakawa upande wa utetezi wa haki wakati ni project
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…