GE2025 INEC, NIDA wamkana Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hata kama ningekua mimi ndo mmoja kati ya hao wakurugenzi unafkiri ningekubali? Tena mimi ndo ningeshika na biblia kabisaa mkononi ili watu waniamini!!! Aseee mamangu tuwekee tume huru tuchague kiongozi tunayemtaka!!!
 
INEC wametoa wapi watu 37mil?
Cooked data.
Hamna kitu hapo. Data flow iko hv: NIDA》》》》CCM》》》》INEC fake! Then Mwambegele Tangaza ushindi wa kishindo kwa CCM
Hatimaye team ya chama cha siasa yafurumshwa kwenye
Biblia inasema MUNGU HUWA HASIKII MAOMBI YA WANAFIKI. I do believe that. Kwa Tanzania ilipofikia sasa na hasa baada ya Mhe. Polepole kuchomoa betri isingelikuwa haki Mungu aruhusu huo ujinga wa sjui GOLI LA MAMA, MITANO TENA NA OKTOBA TUNA TICK! THE GOD ALMIGHTY CAN'T ALLOW SUCH NONSENSE!!!
 
Polepole kasema kama wanakanusha waruhusu wataalamu waende kuchunguza. Hayo maneno maneno yeyote anaweza kutamka 😂😂😂.
 
Waletwe wakakuzi wakimataifa na ma It
 
Unajua mifumo kwanza nisije nikawa na bishana na mtu asiyejua hata mifumo ya computer inavyofanya kazi
 
Wazo la makaratasi futa kura zinainhizwa kwenye data base, zinahesabiwa electronically
 
Usilolijua ni usiku wa kiza kinene
 

Toka mkataba :

25 October 2020
NEC YAFAFANUA: VITAMBULISHO vya NIDA, LESENI za MAGARI, PASI za KUSAFIRIA Kutumika KUPIGIA KURA...


View: https://m.youtube.com/watch?v=29K2lotgbl4Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa fursa kwa wapiga wura Waliopoteza vitambulisho vya kupigia kura kutumia vitambulisho mbadala vya taifa, leseni ya udereva au pasi ya kusafiria..
 
Polepole anadai alishiriki "kusanifu mfumo". Kumjibu, labda ingeonyeshwa jinsi ambavyo hakushiriki "kusanifu" huo mfumo kama anavyodai.
 
Yes ye anafikir zinajumlishwa na calculeta watu waliojiandikisha Nida ni wengi na wenye kadi ya ccm ni wengi sana sasa wale wenye ccm wote wanakuwa counted wameshapigia kura ccm ktk data base kura zikiingia zina duplicate then wanatafuta tu za kujazia
 
Nimeipenda hii 🤣🤣🤣

Nasikia kitakachojiri baada ya hapo ni kudeal ntu kwa ntu, jina kwa jina 😂😂😂
 
Kuna alietegemea kuwa NIDA na INEC iseme kuwa ni kweli mifumo imeunganishwa?

Vitu vingine vinahitaji tu ile akili ya kunyonya miaka 2 …. That simple
 
Also vituo feki. Maana yake kura nyingi zaidi atamwagiwa mshindi feki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…