GE2025 INEC: Kampeni zimeenda kwa utulivu hata Uchaguzi utaenda kwa utulivu

GE2025 INEC: Kampeni zimeenda kwa utulivu hata Uchaguzi utaenda kwa utulivu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
844
Reaction score
1,608


Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndugu. Kailima Ramadhani akijibu kuhusu hatua watakazochukua katika kulinda usalama katika vituo vya kupiga kura amesema hatua ya kwanza ni kutoa elimu kwa wapiga kura kufuata masharti elekezi, kuwa na polisi wa kusimamia kituo. Pia amesema kuwa mwenendo wa jinsi kampeni zinavoenda ndo vitakavyo tabiri hali ya vituo vya Uchaguzi.
 
Badala ya kuwadanganya watu wenye akili kwa kujiita INEC, mngejiita tu NEC-CCM. Hakuna tume huru ambayo viongozi wake wote wanateuliwa na Mwenyekiti wa CCM.
 
Back
Top Bottom