Industrial Engineering manager ana wajibu gani kiwandani?

Ni kama manager katika masuala ya cost minimization,profit maximization ambapo anatumia skills za kiinjinia katika kuimprove productivity kiwandan
Aksantee mkuu..je, anafit kwenye section gan in industry
 
pia anaweza fanya kazi kama HUMAN FACTOR ENGINEER au LOGISTIC ENGINEER...sababu hizo zote ni moja ya misingi ya katika industrial engineer
 
Pia kuna Industrial engineer wengine wapo katika upande wa MACHINE DESIGN huko nako huwa wanapiga mzigo wa kudesign kama kawa
 
pia anaweza fanya kazi kama HUMAN FACTOR ENGINEER au LOGISTIC ENGINEER...sababu hizo zote ni moja ya misingi ya katika industrial engineer
hapo kwenye human factor engineer anakuwa anafanya kazi gan
 
Hiyo kitu ina husisha mambo mengi ikiwa mahusiano kati ya mashine zinazotumika kiwandani ma wafanyakazi .mazingira halisi ya kazi yawe rafiki kwa wafanyakazi, matumiz sahihi ya vifaa wakati wa kazi, hayo anayafanya kwa kutumia Engineering concepts
 
kwa kukadiria mshahara wao ngap hawa jamaa
 
dah hiyo itakuwa ngumu kujua broh cuz huwa wanalipwa viwango tofauti kutegemea na uwezo wa kampuni husika
 
Back
Top Bottom