Indonesia kususia bidhaa za Marekani

Indonesia kususia bidhaa za Marekani

jiwekuu770

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
2,246
Reaction score
1,646
Nchini Indonesia raia wameandamana hivi leo katika balozi ya Marekani nchini humo wakipinga kile kinachodaiwa Uamuzi wa Marekani kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel!!...

Maandamano hayo yakiwa na agenda ya kuishinikiza Marekani kutengua uamuzi huo huku Kiongozi wa nchi hiyo akishinikiza wananchi

KUSUSIA BIDHAA ZOTE ZA MAREKANI HADI HAPO NCHI HIYO ITAPOTENGUA UAMUZI HUO!!

Source: Chanel 10

Personal view:
Sasa awa wajinga kweli sasa hivi unaweza kususia bidhaaa za Marekani kwa ka nchi masikini kama Indonesia....

Vitu kama Internet, social media instagram, FB, whatsapp n.k

Madawa na chanjo nyingi za muhimu

Technologia zote kali computers,n.k

Sijui wakizuia watakua wanatumia mabaibui na makanju kuperuzi
 
Nchini Indonesia raia wameeandaman hivi leo katika barozi ya marekani nchini humo wakipinga kile kinachodaiwa Uamuzi wa marekani kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel!!...

Maandamano hayo yakiwa na agenda ya kuishinikiza marekani kutengua uamuzi huo Huku Kiongozi wa nchi hiyo akishinikiza wananchi

KUSUSIA BIDHAA ZOTE ZA MAREKANI HADI HAPO NCHI HIYO ITAPOTENGUA UAMUZI HUO!!
Source: Chanel 10

Personal view:
Sasa awa wajinga kweli sasa ivi unaweza kususia bidhaaa za marekani kwa ka nchi masikini kama indonesia....
Vitu kama Internet,social media instagram,fb,whatsapp n.k
Madawa na chanjo nyingi za muhimu
Technologia zote kali computers,n.k

Sijui wakizuia watakua wanatumia mabaibui na makanju kuperuzi
Huyu trump wa marekani mambo yake sithan kama yanatofautiana na trump wetu hapa.
 
Nchini Indonesia raia wameeandaman hivi leo katika barozi ya marekani nchini humo wakipinga kile kinachodaiwa Uamuzi wa marekani kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel!!...

Maandamano hayo yakiwa na agenda ya kuishinikiza marekani kutengua uamuzi huo Huku Kiongozi wa nchi hiyo akishinikiza wananchi

KUSUSIA BIDHAA ZOTE ZA MAREKANI HADI HAPO NCHI HIYO ITAPOTENGUA UAMUZI HUO!!
Source: Chanel 10

Personal view:
Sasa awa wajinga kweli sasa ivi unaweza kususia bidhaaa za marekani kwa ka nchi masikini kama indonesia....
Vitu kama Internet,social media instagram,fb,whatsapp n.k
Madawa na chanjo nyingi za muhimu
Technologia zote kali computers,n.k

Sijui wakizuia watakua wanatumia mabaibui na makanju kuperuzi
hakuna mwenye akili, ni kupindua juu basi
 
Aliekwambia indonesia ni maskini hivyo ni nani?labda umefananisha na philipines
Zote hizo ni third world country
Hawana GDP ya kuishitua marekani japo marekani nae hatahofia hizo economic tarrif za Indonesia anachokifanya Indonesia ni trade diversion with USA

Marekani watamwacha aendelee kutamba mwisho wa siku atajikuta ananunua bidhaa za marekani indirect kupitia jirani zake huko bara asia
 
Ha ha ha [emoji2] [emoji2] [emoji3] asante kwa details
 
Maskin unamgomea tajiri,..ni sawa leo reg mengi au bakhresa aje matongoze dem wako af et umwekee vikwazo akat ukikubal dem wako achkuliwe kupitia yeye nawee utaneemeka..indonesia 3rd world anamtisha nan maskin
 
asije tu kuundiwa kundi LA kigaidi yakaanza kuwasumbua USA ni zaidi ya Lucifer yakikuamulia hutoboi
 
Back
Top Bottom