Indonesia kususia bidhaa za Marekani

Indonesia kususia bidhaa za Marekani

Leta economical proven facts.


sipo kubishana kiongoz,i say what i know and see.kwa sasa Nipo Indonesia, just proposed to my gf na krismasi naenda kula Bali.😉😉😉😉
465207742.png
 
kiongozi umefanikiwa kufika Indonesia?Believe me,haiko kama unavo fikiria
Shida unalinganisha na tz au uganda!! Kuna classification ya developed countries na 3rd countries ...
Kuna vigezo syo kwa ushamba wako wakuona tofaut kwa kuilinganisha na kwetu
 
sipo kubishana kiongoz,i say what i know and see.kwa sasa Nipo Indonesia, just proposed to my gf na krismasi naenda kula Bali.😉😉😉😉
View attachment 653377
Asante mkuu lakini tulitaka economic prove, ikiwemo classified kama developed or 3rd country lakin siyo kuprove kua umeenda kula xmas kwa manz wako
 
Shida unalinganisha na tz au uganda!! Kuna classification ya developed countries na 3rd countries ...
Kuna vigezo syo kwa ushamba wako wakuona tofaut kwa kuilinganisha na kwetu

sijalinganisha na Afrika mkuu.Nimeishi nje ya Africa na bado niko nje ya Afrika zaidi ya miaka mitano boss na ni nchi tofauti.Kumuita mtu usiyemfahamu mshamba sidhan kama ina mantink.By the way naweza nikawa nimetembea na kufahamu mengi zaidi ya kusoma mtandaoni.Anyway peace.
 
Waache walete jeuri mwisho wa Siku majamaa wawaundie kundi LA kigaidi ili lianze kazi ya kuwasambaratisha hukohuko Indonesia.Wazee misheni yao ikiisha mnakuwa mmeshaomba pooo,halafu hawa si walipigwa tsunami then wanaowaita makafiri wakawapelekea msaada.
 
kwanini wanawashwa washwa si wapeleke jeshi
 
Maskin unamgomea tajiri,..ni sawa leo reg mengi au bakhresa aje matongoze dem wako af et umwekee vikwazo akat ukikubal dem wako achkuliwe kupitia yeye nawee utaneemeka..indonesia 3rd world anamtisha nan maskin
Mkuu, una akili ya kimaskini sana. Mwanaume ni kupambana hata kama inakulazimu kushika silaha. Kwani akina bakheresa walipataje?
 
Mkuu, una akili ya kimaskini sana. Mwanaume ni kupambana hata kama inakulazimu kushika silaha. Kwani akina bakheresa walipataje?
Walipataje nn !! Uwe specific bana cku iz vya kupata vingi
 
Indonesia ni Wakulima wa Nazi Mbata. Walishindwa kuipiga East Timor hadi ikapata Uhuru, eti sasa wanapambana na USA. Wamelegea utazani Mchuzi wa dafu. Wapambane na hari zao kwanza.
 
Nimekuja kukuelewa mwisho wa Uzi wewe ni MTU wa kizazi gani na mwenye fikra pevu kiasi gani.
 
Zote hizo ni third world country
Hawana GDP ya kuishitua marekani japo marekani nae hatahofia hizo economic tarrif za Indonesia anachokifanya Indonesia ni trade diversion with USA

Marekani watamwacha aendelee kutamba mwisho wa siku atajikuta ananunua bidhaa za marekani indirect kupitia jirani zake huko bara asia
tena price itajidouble coz kila inakopita tax inakuwa added waungane na kiduku wa north Korea labda
 
Indonesia ni Wakulima wa Nazi Mbata. Walishindwa kuipiga East Timor hadi ikapata Uhuru, eti sasa wanapambana na USA. Wamelegea utazani Mchuzi wa dafu. Wapambane na hari zao kwanza.

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom