[emoji625]Indiana jones and the dial of destiny.
imeachiwa leo baada ya kukaa cinema kwa zaidi ya mienzi miwili.
Indiana jones ni moja kati ya movie kali za muda wote kwenye upande wa Adventure.
Hii ndo itakuwa Indiana jones ya mwisho kutolewa katika ule mtiririko wa movie za Indiana Jones...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.