Indian Soldier...oh sorry.....US Soldier

Well nipe reference ya kijiji ambacho mhindi ameweka makazi (i bet you know the meaning of kijiji)
Ujajibu swali, nimekuuliza ushatembelea vijiji vyote vilivyo kwenye Jamhuri ya watu wa Tanzania?
 
You will just remain with your hatred and jelous. Indians reached where they are by hard work and their inteligence. What will they gain by joining JWTZ - the army with antics and great hunters style- their only capability is to beat up their own countryment when they protest their bullying tactics. Grow up guys and see where the world is going dont just complain.
 
nasikia wahindi na waarabu wapo ... ila wako zaidi kama informers na undercovers ... kuna mmoja nilionyeshwa maeneo ya mnazi mmoja ... zamani uswazi tulikuwa tunawaita waarabu/wahindi pori ... yaani waarabu/wahindi lkn wanajua mambo yote ya kiswahili (tofautisha na wamanga koko)

Hao Wamanga koko ndiyo kina nani?Na tofauti yao ni nini na hawa wengine?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom