macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,481
- 61,393
Na mwafrika aliyezaliwa na kukulia India hawezi kuwa Indian? Basing on your theory the answer is yes! Verdict: Jina sio la kibaguzi. BTW Nimeona mpaka shule zinazoitwa American school huko Ulaya.Young AFRICAN sio jina la kibaguzi. Wahindi, Wazungu, Waarabu, nk wanaweza kuwa Africans.
Watanzania wa makabila yote (pamoja na Wahindi raia) ni Africans.
Afadhali Wazungu wamebadilka
Nawale wanauza watu Libya mchana kweupe n Wazungu?Na Mashaka sana na IQ yako hivi hata ku google huwezi ukaona ubaguzi wa wazungu?
Weee!acha kabisa mzungu ni habari nyengine kabisa kwenye suala la ubaguziAfadhali Wazungu wamebadilka
Weee!acha kabisa mzungu ni habari nyengine kabisa kwenye suala la ubaguzi
Kama wewe ni mwafrika mwenzagu unatamani mwanao akashriki darasa na wahindi ili iweje?, unataka upate mjukuu chotara? wakihindi?Wahindi na Waarabu ni watu wabaguzi siku zote katika dunia hii.
Kuna shule kadhaa zenye majina ya kiingereza lakini wanafunzi WOTE yaani 100% ni wahindi tu.
Hizi shule zipo Nairobi, Dsm na Arusha.
Hata kama mzazi mweusi ana uwezo kiasi gani mwanae hataweza kujoin hizi shule.
Ninachojiuliza : ikiwa wanatumia kiingereza kama lugha ya kufundishia na sio kihindi...ni kwanini hawawasajili watoto weusi?
Mwenzagu= MwenzanguKama wewe ni mwafrika mwenzagu unatamani mwanao akashriki darasa na wahindi ili iweje?, unataka upate mjukuu chotara? wakihindi?
Hata kama wanafundisha kihindi, mwnao aweza jifunza kama tunavyosoma kifaransa na kileno: unafikiri kihindi kitakulipa?
Napita tu
Mzungu sio Mbaguzi.Kwa kuzingatia historia ikiwemo ya maswala ya utumwa na ukoloni , Mzungu ana afadhali kubwa mara dufu kuliko mwarabu na hao wengine!
Inawezekana wewe ndio mbahguzi,ndio ukafikiria na wengine ni wabaguzi.Wahindi, Waarabu Hawa watu n wabaguz WA Kiwango cha kutsha
Hebu elezea kdg, wahindi kuwa Africans. Kwahiyo kuna waafrika ambao ni Indians?Young AFRICAN sio jina la kibaguzi. Wahindi, Wazungu, Waarabu, nk wanaweza kuwa Africans.
Watanzania wa makabila yote (pamoja na Wahindi raia) ni Africans.
Wahindi inawezekana ikawa wabaguzi ila waarabu sio kiviiiile. Wanachanganyikana. Wahindi hawaoni na Africans like waarabu wengi wanaoana na Africans.Wahindi, Waarabu Hawa watu n wabaguz WA Kiwango cha kutsha
Kiswahili ni shida sana haswa kwa watu wa kanda ya ziwa.Kuisajiri, kusajiri, KUISAJILI, KUSAJILI.
Kwa ajili ya ubaguzi wa kihindi hutaona weusi kutoka bara la Afrika kukimbilia kulowea India.Hebu elezea kdg, wahindi kuwa Africans. Kwahiyo kuna waafrika ambao ni Indians?
Mkuu dawa ya ubaguzi sio kulazimisha kupenya kwenye vitu vya watu wengine ambavyo wameweka kwa jasho lao, dawa ya ubaguzi ni kujenga vyetu vyenye ubora sawa au zaidi yao ili wao ndo watamani kuja kwenye shule zetu na sisi tugome. kwa style hiyo tutaheshimianaWahindi na Waarabu ni watu wabaguzi siku zote katika dunia hii.
Kuna shule kadhaa zenye majina ya kiingereza lakini wanafunzi WOTE yaani 100% ni wahindi tu.
Hizi shule zipo Nairobi, Dsm na Arusha.
Hata kama mzazi mweusi ana uwezo kiasi gani mwanae hataweza kujoin hizi shule.
Ninachojiuliza : ikiwa wanatumia kiingereza kama lugha ya kufundishia na sio kihindi...ni kwanini hawawasajili watoto weusi?