India yapanga kuyapiga Marufuku makampuni ya Simu ya China yanayouza simu za bei nafuu nchini humo

Serikali ya India inapanga kuyapiga Marufuku Makampuni ya Simu ya China ambayo yanauza simu za Bei Rahisi ili kuruhusu Makampuni ya ndani kuweza kufanya vizuri.

Makampuni yatakayoathirika na zuio Hilo la kuuza bidhaa zake nchini India Ni Xiaomi,Oppo na Vivo.

Serikali ya India inayashutumu Makampuni hayo kwa kutumia ruzuku inayotolewa na Serikali ya China kwa kuuza simu kwa Bei ya Chini na hivyo Kampuni za India zisizo na ruzuku kutoka Serikalini kushindwa kushindana.

Kwa mjibu wa THE INDEX,Bei ya Simu za Kichina nchini India Ni Rupia 12,000 Sawa na Dolla 150 za Kimarekani. Endapo agizo Hilo litapita na kuwa Sheria,Makampuni hayo yatapoteza 75% ya mapato Yake kila mwaka.

Kampuni ya Oppo pekee yake iliuza jumla ya Simu Milioni 620 nchini India Pekee na Simu Milioni 900 Duniani kote.

The aim is to push Chinese giants out of the lower segment of the world’s second-biggest market to help local industry.
India aims to restrict sale of Chinese cheap smartphones: Report
Uuze simu million 620. Iyo nchi adi watoto wadogo na wenyewe wanamiliki izo simu apa naona fix nyingi
 
Samsung ni South Korean brand sio mzungu ww .
Nimetumia iOS ktk Iphone, Samsung flagships. Nimetumia Redmi, Vivo, Opo niliishika kwa masaa kadhaa, One plus bado. Katika teknolojia za hapo juu, achana na mzungu, Apple na Samsung ni moto mwingine kabisa, Huawei alikuwa kwenye hatua nzuri za kuja kushindana na tecs za hawa mabwana hapo juu.

Kwahiyo mkuu watu wanapoisifia Iphone, Samsung wala usione wanazipa sifa za bure, hizi products zipo vizuri kweli. Mfano Samsung S10, Note 10 kwenda mbele, hizi simu ni mziki mnene.
South
 
Kaka tusiongee ushabiki.
China siku hz anaunda simu ambazo ukiniambia nishindanishe na Iphone na Samsung nathubutu kulinganisha.
Hiyo 200k Yako ungenunua vivoY01 uone utamu wa Ile simu.
Kama una Hela zaidi tafuta vivo Y50 au vivo x90.

Ni kweli mkuu, nimenunua Infinix mama yangu yaani quality ya video you tube ni poorest, najutia laki mbili yangu bora ningenywea bia tuu.
 
Mbn watumiaji wa Pixel hatujadiliwi hapa...., isijekuwa watu wa huko daslam mnatuona kama tunatumia Remote
 
Back
Top Bottom