Huyuhuyu China alipiga marufuku kuzaa zaidi ya mtoto mmoja mpaka hivi karibuni limit imekuwa watoto wawili tuRais wa China 1949" the great nation is built up by higher population " sasa tz tunahamasishwa uzazi wa mpago uendane na ukuaji wa uchumi na kupima vvu wanaume🙄
Haitakuja kutokea asia wanamtegemea sana mzungunAONA TARATIBU UCHUMI UNARUDI ASIA.
Siku zote huwa naamini kuwa maendeleo huchagizwa na idadi ya watu. Nchi zetu za kiafrika bado tunaamini katika kuwa na watu wachache. Wanaoongoza kwa idadi ya watu ulimwenguni ndiyo huchomoza kimaendeleo. Hata kwenye historia, yalianza mapinduzi ya idadi ya watu na vingine vilifuata. Tuzaliane kwa wingi ili tuendelee. Hongera India!