India students caught 'cheating' in exams in Bihar

India students caught 'cheating' in exams in Bihar

January Makamba ni mtaalamu wa chabo ila mwisho wake ulikua m'baya kwani mwisho wa siku akiwa kwenye chumba cha mtihani alijisahau akakusanya booklet na kipande cha karatasi(kibuti) akafutiwa mtihani.
 
Mi nilidhan chabo ya....mbona hata mkulu kwa chabo hajambooo
 
Anza kwanza wewe kutueleza jinsi ulivyokuwa unapiga chabo
 
Hata siku moja ngo"ombe hanenepi siku ya mnada.........kama ulitumia muda mwingi wa kusoma kwa kupost picha instagram na fesibuku....imekula kwako......kama muda wa kusoma ulikuwa unautumia kusoma magazeti ya udaku na udakuzi imekula kwako........kama ulikuwa unaaga home kuwa unaenda shule kumbe unaenda gest na boyfriend wako huku ukizani unawakomoa wazazi kumbe unajikomoa mwenyewe ujue imekula kwako......kama ulikuwa hujisomei kwa bidii ukitegemea mitihani wizi ili ufaulu....itafahamika..........
 
Ndiyo maana tunahangaika na akina EPA, Twiga hai, Escrow, etc.. eh!

Kumbe wizi walianza mapema, wanacho fanya ni continuation tu> Wengine kwa vile walishazoea kupiga chabo wanajiita makengeza kwa sababu macho yalisha zoea kukodolea.... haaaaaaaah, hizi semi!? Wengi hawazielewi kumbe!!
 
Elimu ni maarifa yanayokaa kichwani na sio kwenye makaratasi.......zama za kuajiri makaratasi bila ya kuangalia maarifa ya mwenye makaratsi zimeshapitwa na wakati.........watu wapimwe kwa maarifa yao na utendaji wao wa kazi na sio wingi wa makaratasi....................
 
Back
Top Bottom