Incubator inauzwa

Incubator inauzwa

1800

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
2,215
Reaction score
612
Wadau habari!nauza machine ya kutotoa vifaranga (INCUBATOR) toka U.K, yenye uwezo wa kutotolesha vifaranga 24 kwa wakati mmoja na bei ni shilingi laki tatu 300,000/= !kwa mwenye kuihitaji naomba ani PM
 
weka picha yake au brand na model yake, pia specifications, je inageuza mayai yenyewe au kama zile za kichina mayai 64 kila siku kugeuza mwenyewe
 
weka picha yake au brand na model yake, pia specifications, je inageuza mayai yenyewe au kama zile za kichina mayai 64 kila siku kugeuza mwenyewe

Mkuu hii ni full automatic,mayai inageuza yenyewe na ni brand ya Uk,brinsen
 
Back
Top Bottom