je unataka kuzidisha namba kwa 11, hujui table au huna calculator?.
usipate tabu.
chukua namba hiyo, itenge katikati, kisha chukua jumla ya digit hizo then unganisha pamoja.
mfano 1: 45 * 11
tenga 45: 4_5
chukua jumla : 4_(4+5)_5
: 4_9_5
unganisha : 495
mfano 2: 89 * 11
tenga 89: 8_9
chukua jumla >> 8_(8+9)_9
: 8_17_9 kwakua jumla ambayo ni 17 ina digit 2, tenga toka kulia acha digit moja yaani 1_7, chukua ya kushoto jumlisha kwa namba ya nje, yaani 1+8= 9
utapata: 9_7_9
jibu : 979
mfano 3: 122 * 11
tenga acha digit moja kulia : 12_2
chukua jumla : 12_(12+2)_2
: 12_14_2
tenga kati : 1_4, jumlisha ya kushoto kwa ya nje yaani 1+12=13
utapata : 13_4_2
jibu : 1342
Too much work..
Kwa nini usitumie tuu njia tuliyofundiswa shule ya msingi? It takes less than a minute to do that..LoL!
baelezee baelewe bana.
this is advanced level, hujui maths nini? nikikuletea fourier series, derivatives, algebra etc si ndio utazimia kabisa?
Si kweli....bila njia hii and of this kind hutafaulu quiz za hisabati...try learn them u'll meet them on ur way developing ur career.
Quiz za Hesabu nilikua nazifaulu vizuri tuu bila hiyo njia...I got a career, na hiyo njia haitanisaidia in any way ku-develop...Thank you!
Hakuna formula yoyote hapo. Ni utundu tu. Si shauru watoto watumie ujinga huu.
huwezi kupitia hesabu kama hizi kama una career yako ni hesabu za kuuza nyanya, then wont help you at all!!, kama umeipenda poa kama hujaipenda ipotezee teh teh heh tehh.