Increased media openness about corruption

MissKitim

Member
Apr 27, 2009
44
2
Wadau,
Hii attachment (hususan Chapter 4 ndio ilionikuna) nimeikata kutoka katika report ya shirika la misaada la Norway..liitwalo MNRP. The contents of the chapter are very relevant kwa struggle iliyopo sasa.

Nimeona nitoe BIG UP kwa waandishi wa habari wote walio mstari katika kupiga vita ufisadi. Nasema huyo moyo uendelee, maana ndivyo wananchi wanavyoelimika na kuamka katika usingizi. Wasiogepeshwe au kurudi nyuma na wasemayo wachache ambao mimi naona bado kuamka usingizini...na kuishia kushabikia wasivyovijua.

Kuubadilisha Uongozi wa sasa, ni media ndio itakayosaidia. hata sisi tunaosoma au kusikia habari za media inabidi kuzimbasa kwa wananchi ambao bado wamelala, popote pale tulipo. Kwa sababu naamini wana jamii forums wako karibu kila kona ya nchi..na tuufikishe Ujumbe. Kwa sababu tumeshaona tuna idadi kubwa ya viongozi ambao hawajali kabisa maslahi ya wananchi. Na hata viongozi wakuu hatuoni hatua zozote za kisheria zikichukuliwa juu ya wezi, nisemapo hivi naamanisha mtu kuhukumiwa kifungo au adhabu istahiliyo. Zaidi Zaidi naona tu kupelekana mahakamani halafu basi..na mpaka miaka 47 imepita sijasikia kiongozi aliyeshafungwa kwa ubadhilifu wa mali ya Umma.

Tuanze taratibu kuwaelimisha wananchi at least mwaka 2010 tuongeze idadi ya wabunge wapinzani bungeni.....na mwishowe tutaelekea kule tutakako...wananchi wameshaatabika vya kutosha na wameshaonewa vya kutosha....

Mimi binafsi..inaniuma sana kila ninaposoma uchafu unaoendelea katika nchi yetu....

Please Read the attached article..ni nzuri katika kuchochea mapambano na mafisadi....
 

Attachments

  • CORRUPTION IN TZ.doc
    235 KB · Views: 31
Hiyo article imegusa jinsi Norway, hela yao ya msaada karibu nusu iliishia mifukoni mwa wachache. So article inagusa wizara ya maliasili na utalii..kama hii wizara imeoza hivi..hizo nyingine zi vituko..
Mabadiliko yanatakiwa haraka sana..tuzidi kupashana ili tuokoe kizazi kijacho. Tusipofanya hivyo watarithi nchi ambayo ni maskini wa kutupwa..umaskini ambao utakuwa umesababishwa na viongozi waliojaa tamaaa
NI KILIOOOOOOOOOOOO>>>>>>>>>>>
 
Hii repoti imeshajadiliwa hapa siku sii nyingi!

Ila ni kweli JK ameruhusu zaidi uhuru wa media kuliko wakati wa Mkapa
 
Back
Top Bottom