Kama una access ya Kufungua Bank Equity Kenya fanya hivo lakini unaitaji kutembelea tovuti special ya nchi inayipokea hela i.e yenye button ya withdraw money
e.g
www.paypal.com/tz hii site haina withdraw money wakati
www.paypal.com/ke ina option hiyo iwapo ume sign up for business acct
Hivo kama una paypal ume sign up kwa TZ na umeweka Visa/MC za Bongo inakupasa kufungua Acct nyingine preferably link ya Kenya ambayo na adress itabidi utumie ya Kenya