The Son JF-Expert Member Jul 30, 2012 459 58 Sep 14, 2012 #1 TemboCard MasterCard ya CRDB kukubaliwa kwenye ATM ya NBC inayokubali MasterCard. Natanguliza shukrani.
TemboCard MasterCard ya CRDB kukubaliwa kwenye ATM ya NBC inayokubali MasterCard. Natanguliza shukrani.
Joeli JF-Expert Member Apr 25, 2011 4,941 3,402 Sep 14, 2012 #2 The Son said: TemboCard MasterCard ya CRDB kukubaliwa kwenye ATM ya NBC inayokubali MasterCard. Natanguliza shukrani. Click to expand... inawezekana popote pale ambapo mastercard inakubalika, sio nbc pekee
The Son said: TemboCard MasterCard ya CRDB kukubaliwa kwenye ATM ya NBC inayokubali MasterCard. Natanguliza shukrani. Click to expand... inawezekana popote pale ambapo mastercard inakubalika, sio nbc pekee
Firewall JF-Expert Member Aug 18, 2012 272 61 Sep 14, 2012 #3 Kwa nini isiwezekane? la sivyo ingekua haina maana kua na mastercard