Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
hee??hujamaliza elimu ya form 4??basi msingi au form one itakuwa ulisoma international,au umeenda tuition ya kizungu?maana mtu ambae hata form 4 hajamaliza au amesoma kwa shida santi kayumba,anaandika maneno ya kizungu?tena kwa kifupi??usitutanie wewe dogo,nimebaini vunga yako.

Omba Mungu atakufungulia njia na maisha yatakuwa mazuri sana.....
tafuta mtaji hata kidogo tu uanzishe biashara...pia unaweza kwenda kozi fupi fupi kama ulinzi...kampuni za usafi..mapishi n.k...walau upate cheti kitakusaidia!
pole, kama una malengo kaza buti.
Nilianza kwa kuumwaga zege na kuuza duka la mtu.
au kama eneo linaruhusu jishughulishe na kilimo cha bustani, mboga mboga, mfano lima nyanya, mchicha, majani ya kunde, mnavu, hoho,biringanya na bamia, uuzie watu huku unaweka savings ya kuja kufungua biashara