Inawezekana Tanzania inaendeshwa katika magazeti tuu

Tatizo lako unaamini wewe unajua kila kitu na wengine hawajui au hawapaswi kujua tofauti na unavyojua.
Mbona viongozi wako wa UKUTA WA BISKUTI na FUNUA ILI UPATWE wanatumia Media hizi hizi kuhalalisha machafu yao. MKUU ACHA MAHABA NIUE UNACHEKESHA.
Unatia kinyaa.Hata hujui unaongea nini tena hapa. Hata magazeti hii serikali haiwezi ndio maana inatuma boya km wewe ndio uitete.NDio mkienda nje mnambuka km wehu na mnaaza dai mmebagulia,mmehujumiwa etc.
 
Kama sijui naongea nn basi utakuwa unatatizo la usahaulifu maana mimi mtazamo wangu siamini hoja yako uliyowasilisha. Hata theories hupata critics nyingi, usinidharau mimi sababu hunijui elewa comments zangu.
 
unatia kinyaa haswa,hata sijui km unakumbuka unaongea nini?Ila una ujasiri km wehu wengine
 
Waandishi wa habar wa Tanzania hawajitambui na ndo wanatufanya tuwe maskin
Kuna mwandishi wa runinga kubwa wa mkoa mmoja Kanda ya kaskazini anapiga fedha ndeeeefu kila akiambatana na RC wake
 
Mkuu naona nakutia kinyaa, naishia hapa.
Pamoja na kukueleza sana kuwa unatia kinyaa,bado ndio unaniambia km vile wewe ndio umegundua?Una shida kubwa kuliko ya personality. kwanini msipoteze muda kufanya mambo yanayoandikika kuliko kuandika mambo msiyofanya au hata kujua yanafanyika vipi?
 
Kuna mwandishi wa runinga kubwa wa mkoa mmoja Kanda ya kaskazini anapiga fedha ndeeeefu kila akiambatana na RC wake
Magazeti ya kesho yatajaa habari za PM na CCM,na vijembe kwa Chadema bila jijua wanaiambia tanzania wameenda kununua mapenzi kwa gharama kubwa wakati mikoa mingine wanaufa njaa.Itabidi PM na mikoa mingine akatoe Pikipiki.
 
Chadema kindakindaki utawajua. mahaba yamewapofua.
 
Kama huyo Mh Mwijage, sijui Rais alimtoa wapi. Maana ni vituko tu, kila uchao hakuna asichojua yeye, ok time will tell.
 
serikali kutwa kutangaza nani anaviziwa kutumbuliwa km vile ni maoni ya wananchi kumbe ni bk 7 kisha kesho maigizo yanaanza. Sakata la Dangote tuu kipenzi chao limetia kinyaa hadi basi.
 
Kama huyo Mh Mwijage, sijui Rais alimtoa wapi. Maana ni vituko tu, kila uchao hakuna asichojua yeye, ok time will tell.
Huyu jamaa ni km mhongo, walikomalia issue ktk magazeti na lobbying kibao ili warudi tena ktk walichokipigia upatu sana,gesi. Na Escrow ndio walikomaa nayo sana,muhongo kamplay victim na bingwa aliyebobea sana.kuna mara alichomekea ni Mengi ndio alimhujumu na sio kutokuwa na uwezo zaidi ya vyeti.Pamoja naaibu yote ya kushindwa handle issue ya gesi wala kujitetea,bado alifanikiwa na km vile ana ulinzi km makonda. Sasa hivi bado magazeti hayajaisha,ila ni muendelezo wa alichokianza ktk awamu ya iliyotoka.
 
Tanzania ya CCM unaweza anzisha rumors tuu na ukawa waziri haraka sana.Unaweza jizushia tuu kwamba wewe ndio mzizi wa shida ya wizara fulani.haichukui muda unapewa kwa vile kila anayschaguliwa ni jipu ktk ccm.
 
hata kufukuzana huwa wanaanzisha umbea ktk magazeti,kisha kesho yake wanakurupuka eti kufanyia kazi.
 
Magazeti yanandika habari ya kizembe hivi ,na hakuna shida,mteule wa serikali ya ccm anongea mambo ya hatari kabisa yasiyo na mahusiano na tukio la mwanza.Bila shida. vikao vya ndani vya ccm vinafanyika maagzeti tena yanaanza tawala, hila za ccm na kuupigiana debe.
 
sarakasi ni nyingi haswa?Kutumbua na kutumbuliwa, kufanya n akufanywa, kusema na kusema kingine tena.
 
Back
Top Bottom