Inawezekana Tanzania inaendeshwa katika magazeti tuu

Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Nilikuwa nadhani ni simba na yanga, au wasanii wa bongo wanaoendesha maisha yao kwa kupitia agazeti tuu na media nyingine. Ila ukweli ni kwamba hata serikali nayo haipo katika uhasilia, ni serikali ya magazeti.

Kila mtu anakimbizana kujithaminisha katika magazeti, akitaka shughulikiwa mtu magazeti huanza, kisha kinafuata mtu kavuliwa shamba, kafukuzwa kazi. Kuteuliwa mtu pia waandishi huanza andika vitu vya kusadikika then kateuliwa mtu.

Kila kuu wa wilaya, wa mkoa, waziri, na askari wapo katika media kila kukicha na matukio mengi mengi yasiyo na tija katika utendaji wa office zao. Inaelekea mipango yao mingi ni ya magazeti na mitandanoa kuliko kupanga issue za kiueledi.

Hawa wakuu wa wilaya, mawaziri na mikoa huwa hawana kazi rasmi, ndio maana wanahangaika kama hawana jinsi ya kuthaminishwa na wakuu wao kupitia malengo ya office.

Wasingekuwa wanakimbizana desperately na matukio. Ndio maana majibu yao yote kwa vitu vinavyotokea baadaya maamuzi yasiyo na tija ya serikali ni ya kitoto na si ya kisayansi. Watu wao very shallow sana. Hawana muda wa kufikiri na kuja na majibu. Nchi inamove so fast kuliko uwezo wao.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
KWa siku thread za vurugu za watendaji wa ccm ktk jamiiforums tuu ni aibu.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Leo Gavana,kesho msajili, kesho kutwa waziri, leo TPDC wakana, kesho ,mwingine anakuja na habari yake iliyosahihishwa kwa kusoma upepo vijiweni.Hii ndio nchi ya CCM.Kesho kutwa Tanesco, siku ingine tena Muhongo anajiteteta kupigwa vita kwa uzalendeo baada ya kuona hauna nachoweza deliver ni balaa tupu hii nchi.
 
Leo mwijage ten ayupo hewani anasema hali ni ngumu hajui ugumu wake, kesho tena akienda vijiweni akikuta mazungumzo ni fulani anarudi tena ktk medi a kusema yake.Nzi hii ni porojo tupo, magazeti ni laana kabisa.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
soon mwingine ataibuka na bei elekezi kwa mahoteli ya kitalii.Haafu walala hoi watashangilia.Serikali itasema naamu tumefanya maamuzi sahihi.Hapa kazi tuu,wanakula na kupata hela nyingi kwa watanzania wakati wananua nyenye bei rahisi hapa..
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Magazeti ya Kesho yatatoa taswira pana sana.Jinsi yaatkavyoandika siasa za Arusha.Aliyekosa dhamana,na PM kuingia Arusha.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Kila mtendaji wa serikali anapayuka ktk magazeti kwa wandishi walihongwa au kujipendekeza kisha wanakiweka ktk "WAZIRI ATOLEA UFAFANUZI-JK ATOLEA UAFAFANUZI KUHUSU KATIBA YA WARIOBA NA KUTOA UTATA NA MAKOSA YA TUME",kisha anwkenda ktk magenge kusikilia imepokelwa vipi.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Finally Hakimu aliyeona Lema kuwa Dili nae apata watu wa kupandisha thread ya kudai kupandishwa cheo.
 
mtumbaya

mtumbaya

Senior Member
Joined
Sep 11, 2016
Messages
127
Likes
60
Points
45
Age
49
mtumbaya

mtumbaya

Senior Member
Joined Sep 11, 2016
127 60 45
Nilikuwa nadhani ni simba na yanga, au wasanii wa bongo wanaoendesha maisha yao kwa kupitia agazeti tuu na media nyingine. Ila ukweli ni kwamba hata serikali nayo haipo katika uhasilia, ni serikali ya magazeti.

Kila mtu anakimbizana kujithaminisha katika magazeti, akitaka shughulikiwa mtu magazeti huanza, kisha kinafuata mtu kavuliwa shamba, kafukuzwa kazi. Kuteuliwa mtu pia waandishi huanza andika vitu vya kusadikika then kateuliwa mtu.

Kila kuu wa wilaya, wa mkoa, waziri, na askari wapo katika media kila kukicha na matukio mengi mengi yasiyo na tija katika utendaji wa office zao. Inaelekea mipango yao mingi ni ya magazeti na mitandanoa kuliko kupanga issue za kiueledi.

Hawa wakuu wa wilaya, mawaziri na mikoa huwa hawana kazi rasmi, ndio maana wanahangaika kama hawana jinsi ya kuthaminishwa na wakuu wao kupitia malengo ya office.

Wasingekuwa wanakimbizana desperately na matukio. Ndio maana majibu yao yote kwa vitu vinavyotokea baadaya maamuzi yasiyo na tija ya serikali ni ya kitoto na si ya kisayansi. Watu wao very shallow sana. Hawana muda wa kufikiri na kuja na majibu. Nchi inamove so fast kuliko uwezo wao.
Tz kila kitu ni magazeti hadi mpira
 
P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Messages
9,539
Likes
5,891
Points
280
Age
44
P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2015
9,539 5,891 280
Mkuu thread umeianzisha wewe halafu comments zote unatoa wewe!!.

Umenikumbusha sinema ya mr bean aliyeamua kujitumia card yeye mwenyewe!!.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Mkuu thread umeianzisha wewe halafu comments zote unatoa wewe!!.

Umenikumbusha sinema ya mr bean aliyeamua kujitumia card yeye mwenyewe!!.
una akili ndogo sana, naweza tumia page km Personal Blog kwani blog ya mtu na wewe huwa unaandika?.wewe huo ndio mchango wako?In amaana hujasoma contents ila upo tayari kubisha?Mna laana nyie.
 
P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Messages
9,539
Likes
5,891
Points
280
Age
44
P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2015
9,539 5,891 280
una akili ndogo sana, naweza tumia page km Personal Blog kwani blog ya mtu na wewe huwa unaandika?.wewe huo ndio mchango wako?In amaana hujasoma contents ila upo tayari kubisha?Mna laana nyie.
Laana unayo wewe usiyejitambua. Akili ndogo unazo wewe, ambaye unaandika kitu and then unakuwa wa kwanza kucomment kwenye andiko lako!!.

Kwa sababu unaishi mjini na upo karibu na magazeti basi unadhani kwamba hayo ndio maisha yote ya Tanzania!!.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Laana unayo wewe usiyejitambua. Akili ndogo unazo wewe, ambaye unaandika kitu and then unakuwa wa kwanza kucomment kwenye andiko lako!!.

Kwa sababu unaishi mjini na upo karibu na magazeti basi unadhani kwamba hayo ndio maisha yote ya Tanzania!!.
mpuuzi wewe ,kuongezea vitu kwako ni lazima viwe comment.Hembu jitete kwanza kwa nilichoandika km huna kakojoe ukalale,kwa vile huna adabu kitaaluma na kimaadili ya jamii tuu.

umeandika ugoro haswa hapa.
 
Cannibal OX

Cannibal OX

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2014
Messages
2,487
Likes
2,667
Points
280
Cannibal OX

Cannibal OX

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2014
2,487 2,667 280
Nilikuwa nadhani ni simba na yanga, au wasanii wa bongo wanaoendesha maisha yao kwa kupitia agazeti tuu na media nyingine. Ila ukweli ni kwamba hata serikali nayo haipo katika uhasilia, ni serikali ya magazeti.

Kila mtu anakimbizana kujithaminisha katika magazeti, akitaka shughulikiwa mtu magazeti huanza, kisha kinafuata mtu kavuliwa shamba, kafukuzwa kazi. Kuteuliwa mtu pia waandishi huanza andika vitu vya kusadikika then kateuliwa mtu.

Kila kuu wa wilaya, wa mkoa, waziri, na askari wapo katika media kila kukicha na matukio mengi mengi yasiyo na tija katika utendaji wa office zao. Inaelekea mipango yao mingi ni ya magazeti na mitandanoa kuliko kupanga issue za kiueledi.

Hawa wakuu wa wilaya, mawaziri na mikoa huwa hawana kazi rasmi, ndio maana wanahangaika kama hawana jinsi ya kuthaminishwa na wakuu wao kupitia malengo ya office.

Wasingekuwa wanakimbizana desperately na matukio. Ndio maana majibu yao yote kwa vitu vinavyotokea baadaya maamuzi yasiyo na tija ya serikali ni ya kitoto na si ya kisayansi. Watu wao very shallow sana. Hawana muda wa kufikiri na kuja na majibu. Nchi inamove so fast kuliko uwezo wao.
Najua fika wewe unaendeshwa na Mitandao.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Najua fika wewe unaendeshwa na Mitandao.
kwa udogo wa akili yako unadhani ukijua ndio kinatosha kukupa usahihi wa kujadili kitu hapa? Mbona hujapinga hoja yoyote hapa kwa hoja?Umesoma uchumi?Unajua biashara ktk soko huria?
 
Cannibal OX

Cannibal OX

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2014
Messages
2,487
Likes
2,667
Points
280
Cannibal OX

Cannibal OX

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2014
2,487 2,667 280
kwa udogo wa akili yako unadhani ukijua ndio kinatosha kukupa usahihi wa kujadili kitu hapa? Mbona hujapinga hoja yoyote hapa kwa hoja?Umesoma uchumi?Unajua biashara ktk soko huria?
Nimekuelewa msomi wa uchumi kama Pro Pesa.
 
Forum statistics

Threads 1,275,071
Members 490,894
Posts 30,532,077