Tz kila kitu ni magazeti hadi mpiraNilikuwa nadhani ni simba na yanga, au wasanii wa bongo wanaoendesha maisha yao kwa kupitia agazeti tuu na media nyingine. Ila ukweli ni kwamba hata serikali nayo haipo katika uhasilia, ni serikali ya magazeti.
Kila mtu anakimbizana kujithaminisha katika magazeti, akitaka shughulikiwa mtu magazeti huanza, kisha kinafuata mtu kavuliwa shamba, kafukuzwa kazi. Kuteuliwa mtu pia waandishi huanza andika vitu vya kusadikika then kateuliwa mtu.
Kila kuu wa wilaya, wa mkoa, waziri, na askari wapo katika media kila kukicha na matukio mengi mengi yasiyo na tija katika utendaji wa office zao. Inaelekea mipango yao mingi ni ya magazeti na mitandanoa kuliko kupanga issue za kiueledi.
Hawa wakuu wa wilaya, mawaziri na mikoa huwa hawana kazi rasmi, ndio maana wanahangaika kama hawana jinsi ya kuthaminishwa na wakuu wao kupitia malengo ya office.
Wasingekuwa wanakimbizana desperately na matukio. Ndio maana majibu yao yote kwa vitu vinavyotokea baadaya maamuzi yasiyo na tija ya serikali ni ya kitoto na si ya kisayansi. Watu wao very shallow sana. Hawana muda wa kufikiri na kuja na majibu. Nchi inamove so fast kuliko uwezo wao.
Tz kila kitu ni magazeti hadi mpira
una akili ndogo sana, naweza tumia page km Personal Blog kwani blog ya mtu na wewe huwa unaandika?.wewe huo ndio mchango wako?In amaana hujasoma contents ila upo tayari kubisha?Mna laana nyie.Mkuu thread umeianzisha wewe halafu comments zote unatoa wewe!!.
Umenikumbusha sinema ya mr bean aliyeamua kujitumia card yeye mwenyewe!!.
Laana unayo wewe usiyejitambua. Akili ndogo unazo wewe, ambaye unaandika kitu and then unakuwa wa kwanza kucomment kwenye andiko lako!!.una akili ndogo sana, naweza tumia page km Personal Blog kwani blog ya mtu na wewe huwa unaandika?.wewe huo ndio mchango wako?In amaana hujasoma contents ila upo tayari kubisha?Mna laana nyie.
mpuuzi wewe ,kuongezea vitu kwako ni lazima viwe comment.Hembu jitete kwanza kwa nilichoandika km huna kakojoe ukalale,kwa vile huna adabu kitaaluma na kimaadili ya jamii tuu.Laana unayo wewe usiyejitambua. Akili ndogo unazo wewe, ambaye unaandika kitu and then unakuwa wa kwanza kucomment kwenye andiko lako!!.
Kwa sababu unaishi mjini na upo karibu na magazeti basi unadhani kwamba hayo ndio maisha yote ya Tanzania!!.
Najua fika wewe unaendeshwa na Mitandao.Nilikuwa nadhani ni simba na yanga, au wasanii wa bongo wanaoendesha maisha yao kwa kupitia agazeti tuu na media nyingine. Ila ukweli ni kwamba hata serikali nayo haipo katika uhasilia, ni serikali ya magazeti.
Kila mtu anakimbizana kujithaminisha katika magazeti, akitaka shughulikiwa mtu magazeti huanza, kisha kinafuata mtu kavuliwa shamba, kafukuzwa kazi. Kuteuliwa mtu pia waandishi huanza andika vitu vya kusadikika then kateuliwa mtu.
Kila kuu wa wilaya, wa mkoa, waziri, na askari wapo katika media kila kukicha na matukio mengi mengi yasiyo na tija katika utendaji wa office zao. Inaelekea mipango yao mingi ni ya magazeti na mitandanoa kuliko kupanga issue za kiueledi.
Hawa wakuu wa wilaya, mawaziri na mikoa huwa hawana kazi rasmi, ndio maana wanahangaika kama hawana jinsi ya kuthaminishwa na wakuu wao kupitia malengo ya office.
Wasingekuwa wanakimbizana desperately na matukio. Ndio maana majibu yao yote kwa vitu vinavyotokea baadaya maamuzi yasiyo na tija ya serikali ni ya kitoto na si ya kisayansi. Watu wao very shallow sana. Hawana muda wa kufikiri na kuja na majibu. Nchi inamove so fast kuliko uwezo wao.
Nimekuelewa msomi wa uchumi kama Pro Pesa.kwa udogo wa akili yako unadhani ukijua ndio kinatosha kukupa usahihi wa kujadili kitu hapa? Mbona hujapinga hoja yoyote hapa kwa hoja?Umesoma uchumi?Unajua biashara ktk soko huria?