Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Nilikuwa nadhani ni simba na yanga, au wasanii wa bongo wanaoendesha maisha yao kwa kupitia agazeti tuu na media nyingine. Ila ukweli ni kwamba hata serikali nayo haipo katika uhasilia, ni serikali ya magazeti.
Kila mtu anakimbizana kujithaminisha katika magazeti, akitaka shughulikiwa mtu magazeti huanza, kisha kinafuata mtu kavuliwa shamba, kafukuzwa kazi. Kuteuliwa mtu pia waandishi huanza andika vitu vya kusadikika then kateuliwa mtu.
Kila kuu wa wilaya, wa mkoa, waziri, na askari wapo katika media kila kukicha na matukio mengi mengi yasiyo na tija katika utendaji wa office zao. Inaelekea mipango yao mingi ni ya magazeti na mitandanoa kuliko kupanga issue za kiueledi.
Hawa wakuu wa wilaya, mawaziri na mikoa huwa hawana kazi rasmi, ndio maana wanahangaika kama hawana jinsi ya kuthaminishwa na wakuu wao kupitia malengo ya office.
Wasingekuwa wanakimbizana desperately na matukio. Ndio maana majibu yao yote kwa vitu vinavyotokea baadaya maamuzi yasiyo na tija ya serikali ni ya kitoto na si ya kisayansi. Watu wao very shallow sana. Hawana muda wa kufikiri na kuja na majibu. Nchi inamove so fast kuliko uwezo wao.