Mkuu inawezekana, ni kwa Deed Poll. Ingawa inategemea na hayo majina au hizo nyaraka unataka ukazitumie wapi. Sometimes hata kiapo kinafaa. Njoo DM tuzungumze, kazi ifanyikeWakuu habari, samahani ivi inawezekana kubadilisha majina baadhi kwenye nida ili iendane na vyeti vya shule kwa uharaka yaani muda mchache, mfano kwenye vyeti nilikuwa natumia,
ROMAN J ROMAN ZUNGU.
ila kwenye nida ROMAN JOHN ZUNGU.
Ni nani? Matapeli ni wengiMuone huyu 0616579060
i understand you mrmaana yangu ni kuwa ikitokea job naweza kueleweka kwa namna majina yalivyo hapo ? , hii ndio point yang mkuu🙏
duu aisee au walitaka ujiongeze (kipesa) mkuu?, sasa ikitokea issue ya kazi utakubakika kweli majina yoteNimeshahangaika mwaka wa tatu huu huko nida hola, vielelezo vyote nimepeleka dd poll, tangazo gazeti la serikal etc. Mpaka barua nimewaandikia majibu yao ombi lako limekataliwa, na kubadili taarifa ni haki yako.
no i cant say if you are go with water or something else but all i can say is this it depends in which situation not everything can go with water easilymkuu kwahio hala ikitokea job ndio nimeenda na maji sio?
Nimetoa na pesa mkuu lakini wapi.duu aisee au walitaka ujiongeze (kipesa) mkuu?, sasa ikitokea issue ya kazi utakubakika kweli majina yote