Duu asante sana kwa mchanganuo mzuri ambao mi naweza kuuita "CONCEPTS OF VICHAA"mi mwenyewe nimo ila huwa najishtukia narudi kwenye mstari kwa vile kaka umeliona wazi I promise kuukimbia ukichaa wa aina yangu.Thanx lete zingne mada zenye akil kama hizi.
Asante baba!Nitakupa mbinu mwanangu na ninaamini hutapata mwenye kichaa tena................LOL
Baba hata mie nitaolewa na kichaa?naomba mungu anipate mwenye kiwango kidogo cha ukichaa!asante kwa somo baba.
Kweli wewe mtambuzi. Sio tu mume au mke hata marafiki vichaa pia tunao.