Inauzwaaaaaaa!

Inauzwaaaaaaa!

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
72,191
Reaction score
190,798
Habari zenu wadau,
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu hii bidhaa mahususi zaidi kwa akina dada ipo sokoni at a very cheap price. Kwa yeyote aliopo Moshi ama Arusha tufanye biashara tafadhali! PM kama uko interested,nawasilisha!
IMG-20160623-WA0009.jpg
 
Mkuu nakataka hako kadude nimpe kijana wangu wa chuo...nipatie bei..kijana yuko arusha..
 
Habari zenu wadau,
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu hii bidhaa mahususi zaidi kwa akina dada ipo sokoni at a very cheap price. Kwa yeyote aliopo Moshi ama Arusha tufanye biashara tafadhali! PM kama uko interested,nawasilisha!
View attachment 369719
Mazingira ilipopigwa hii picha kama vile nayafahamu fika, sijui nitakosea nikisema moshi pale rau kwa mama m...
 
Back
Top Bottom