Inauzwa: Toyota Progres 2001. Km 50,000

Odysseus

New Member
Feb 7, 2008
3
1
IMG_20120823_072632.jpg IMG_20120823_072723.jpg IMG_20120823_072843.jpg IMG_20120823_072901.jpg

picha zinajieleza. gari iko katika hali nzuri kabisa, imetembea kilometer 18,000 tu tangu kuingia nchini.
bei 12,500,000/- (milioni kumi na mbili, laki tano tu)

2500cc, vvti engine, AC, FM radio, CD player, electronic doors, spare key.
TV/DVD player ipo, japo haijawahi fanya kazi tangu gari ifike nchini - user manual ya kijapani

piga simu 0752 435 006
 
View attachment 62813 View attachment 62814 View attachment 62815 View attachment 62816

picha zinajieleza. gari iko katika hali nzuri kabisa, imetembea kilometer 18,000 tu tangu kuingia nchini.
bei 12,500,000/- (milioni kumi na mbili, laki tano tu)

2500cc, vvti engine, AC, FM radio, CD player, electronic doors, spare key.
TV/DVD player ipo, japo haijawahi fanya kazi tangu gari ifike nchini - user manual ya kijapani

piga simu 0752 435 006
Sababu ya kuuza? Imekusumbua au? Upatikanaji wa spare parts? Ulaji wa wese ukoje? Inapatikana wapi, Mogadishu, Nairobi au Sumbawanga?

Afu mkuu umejiunga JF 2008 na leo ndo umerusha post ya kwanza.... Nimekuvulia kofia wallah!
 
Hebu tuweke vizuri mkuu title inasema gari imetembea 50000km lakini kwenye maelezo unasema ina 18,000km ni ipi kweli?
 
Hizi Gari cc yake kubwa halfu sidhani kama ni vvti hizi,gari ina miaka miwili tangia iingie nchi bado unauza 12.5m?? Si bora niagize Japan kwa mil 11m kama hyo! Bei kubwa mno!
 
Hebu tuweke vizuri mkuu title inasema gari imetembea 50000km lakini kwenye maelezo unasema ina 18,000km ni ipi kweli?

post yangu inasema 'imetembea kilometer 18,000 tangu kuingia nchini" yaani imeingia nchini ODOMeter ikiwa 32,000km, na sasa hivi inasoma 50,000km.

Tarehe ya kujiunga JF ni 7th February 2008, sio siku ya ku-post. :smiling:

Gari ipo Dar es Salaam, na kama ilivyo kwa gari za toyota, upatikanaji wa spare Tanzania sio tatizo.
 
Back
Top Bottom