xfactor
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,511
- 1,290
Eneo lipo Kigamboni Mwongozo km 17 kutoka kivukoni.
Lipo umbali wa km 2 kutoka barabara kubwa ya kuelekea kimbiji
Eneo halijapimwa ila lipo kwenye ramani ya mipango miji ( City plan) na limepangwa kama eneo la makazi. Jirani na eneo kuna satellite city ambayo itaanza kujengwa hivi karibuni
Ukubwa : Nusu ekari
Bei: Milioni kumi (10M) maongezi yapo
Mawasiliano: +255 65 477 8777 (mmiliki)